Kila Nikifungua File la Hotuba ya JK na Kubonya CTRL+F ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila Nikifungua File la Hotuba ya JK na Kubonya CTRL+F .....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 1, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Nikiandika Dowans kwenye text box na ku-search sipati kitu.

  Ndiyo kusema jamaa hakugusia kabisa?

  Au anaona ni ishu ndogo sana?
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hii issue ni ngumu kwake. mfupa usiotafunika maana akitaka kuizungumzia inabidi na yeye mwenyewe ajitaje. Nani anaweza kufanya hivyo?

  Si umesikia chama kiko taabani kifedha? nani sietaka ilipwe kwa mtu hewa ili CCM wainuke kifedha? Mkuu yuko nyuma inaonekana wazi kabisa maana huwezi weka pembeni hot issue kama hii inayoumiza watu vichwa kwa kutokujulikana anaelipwa. Amenifanya nihisi yeye ndie anaelipwa mifweza hii au anamjua ila kwa kuwa ni swahiba inabidi akae kimya.

  Nilisikitika tu kuwa sikupata ujumbe toka kwa president wa kufungia na kufungulia mwaka.

  The same verses, the same tune....burudani ya Mziki wa Mwambao!!!!
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani kwani unafikiri hajui kitu ya dowans? Ataanzia wapi kuizungumzia?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ni pesa za kampeni za mwaka 2015, hawazi kuwasaliti wenzake wakati yeye alitumia za EPA
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  subirini hutuba ya mwezi ujao, aliona mambo yalikuwa nimwengi sana.
   
Loading...