Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

siku 10 zimekatika tangu nianze mazoezi,, najiona mkakamavu na shupavu wa hali ya juu,,, naona mwili umeanza kukatika katika,, shukrani wakuu kwa mawazo,, nimeamini dhamira hujenga tabia,,
 
BIDII HUSHINDA YOTE "school motto wa shule flani hivi" ...huwa ninai-apply katika maisha yangu ya kila siku kwamba kinachotakiwa ni BIDII BIDII BIDII hakuna kingine
 
Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?

MAZOEZI NI AFYA
Nia tu. Ukiwa na nia na malengo utaamka mwenyewe kwenda zoezi. Mimi nilikuwa nauchukia ubonge nikatamani kupungua, nikafanya diet za kila aina lkn sikuona matokeo zaidi sana mwili unakuwa dhaifu

Nikakata shauri kwenda uwanjan kwnye mazoezi, mwanzon niliona shida mwili unauma lkn kila nikiuwaza ubonge naamka mwenyewe kwenda uwanjani. Nilipoanza kuona faida ya mazoezi tu, nikawa muaminifu, never miss hadi mwalim alishangaa, nikawa balozi sasa. Mpaka leo japo kwa sasa nipo safari lkn nimekuwa na mwili wa wastani tofauti na mwanzo.

So ukiweka nia hutaacha
 
shukrani sanaa,, hivi sasa nakaribia kumaliza mwezi mmoja tokea nianze mazoezi,,

na nimejiona niko vzur tofaut na mwanzoni,

nikikosa siku moja nahisi kuna kitu kinapungua, niko very seriouz tofaut na mwanzo,,
 
Mazoezi mazuri sana, na ukiyafanya kama sehemu ya maisha yako ya kila siku hutatamani kuacha, ukitega unaona kabisa siku haiko sawa..

Hongera kaza buti
 
Back
Top Bottom