Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Mimi nikifanya siku mbili nasema ngoja nipumzike moja nikipumzika moja ndio kama zotee yani now nimehamisha mazoezi kitandani na nimeshaongeza wapinzani kikubwa jasho linitoke.
Huku kijijini hayo mnayoita "mazoezi ya kitandani" ni kama kujinyoosha tu. Bado silewi unaposema umehamishia mazoezi kitandani kijana mdogo damu inachemka!.
 
Idumu jamaani maana kuna sehemu anasema mie navaa khanga mbili mbili nikajikuta najiangalia kisha nikacheka lol.


Jf idumu idumu sababu kama kucheka tunacheka hasaaaa.
eeeeh ehhhh, umejiona eeeh! huo ndio ufundi wa Allah,, kile kitanda 4 kwa 5 huenei kabisaaa ,,, hata yutong 2 by 3 huwez kusafiri kwa aman labda ile 2 by 2
 
Umenikumbusha mbali sana kiongozi kuna siku moja nilipiga round nyingi nikalala bila kula, sitosahau siku ile, usingizi ulikata ghafla saa 11 alifajiri nikahisi kama tumbo limekatwa then limepakwa pilipili ilikuwa ni bonge ya njaa zaidi ya 1987 nilifungua friji nikachukua mkate mkubwa ndani ya dk 5 umeishia tumboni na maji ya kutosha..
pole mkuuu hukuweka alam
 
Back
Top Bottom