Kila nikiamka nakuta mdomowa juu (lip) umevimba tatizo ni nini?

ibra2013

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
536
250
Hii siku ya tatu mfululizo kila nkiamka asubuhi lazima mdomo wng lips ya juu ivimbe.
Naomba ushauri na msaada wa kutumia dawa

Picha iyo 👇

20200729_061440.jpg
 

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
926
1,000
Ilishawahi nitokea nikaambiwa na wataalam ni allergy hivyo nikanunua vidonge vya vitamin B. Hali ikawa poa
 

kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,315
2,000
Allergy hiyo chunguza vizuri chakula ulichokula kila hali hiyo ikikutokea.. aidha ikikutokea kula ant allergy kama cetrizine
 

Jajosa

New Member
Aug 4, 2020
4
45
Hyo ni allergy inatokea hasa kama ulikula samaki au Kuna vyakula mfululizo ulivyokula
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom