Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

Kama title inavyojieleza wakuu,

Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake.

Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj ku-cheat ili kukidhi mahitaji but kila nkifanya hivyo manzi wangu ananiambia kuwa ameota ndoto kuwa nina mwanamke mwingine na ameniuliza kuhusu hilo na nimekataaa kata kata kwenye ndoto na hata alivokuja kuniambi katika uhalisia nilikataa pia.

Hii inawez kumaanisha nini? Maana mimi nimewaza nimeshindwa kuelewa na sina hakika kama kuna mtu anampa taarifa juu ya kile ninachokifanya.

Hiyo shida, atakusumbua kwenye maisha mtakayoishi
 
Kifuatacho ni fumanizi, it happens kuota ndoto especially kama upo mwaminifu kwa mpenzi halagu yeye sio mwaminifu, imewahi kunitokea mara nyingi na the last one nilimfuma, haikua live lakini ni kama tu Mungu alimtia upofu akajichanganya alarudi nyumbani na kitu ambacho kilikua evidencw na hakuwa na ubavu wa kubisha
Duuh mbona tunatishana


Ilikuwa bahati tu kwako


Anyway hata hivyo hii comment imenifanya nihairishe mipango ya kumuona Suzie kule ununio ngoja nitulie nyumbani
 
Mbona Kama Mimi kila nikipata mchepuka mke wangu ananiambia ameota ndoto kuwa Nina mwanamke wa pembeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom