Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Nguo wanazovaa mademu siku hizi ni kiboko ,nikikaa zangu hapa kwenye kakibanda kangu ka kiepe nawapimia vile mistari ya chupi inavyojichora vyema kupitia kwenye makinikia yao,
Yaani nguo zao za siku hizi lazima ziwachore tu wananiumiza hatari aisee
Zero Nitapona kweli mwaka huu unaokuja?
Cc Zerp IQ
Yaani nguo zao za siku hizi lazima ziwachore tu wananiumiza hatari aisee
Zero Nitapona kweli mwaka huu unaokuja?
Cc Zerp IQ