Mambo ni machungu ktk ofisi fulani maana kila mwenye hekima anapomaliza kuongea na mwenye mtoto anamshauri amtafutie kazi nyingine ila sio hiyo aliyompa.
Kwakweli baba mwenye mtoto anapata shida sana maana wengine wanaomwambia habari za tabia ya mtoto ni watu anawaheshimu sana, kwakweli inauma sana.
Baba ameamua kuomba ushauri; Je, wanampenda nani wengi wanamwambia unaye mpenda hatuwezi kukupangia mambo ya familia yako na wala sio lazima uchukue. Akitafakari wanaomshauri wengi ni wazazi wake anaowaheshimu sana....
Kweli jamani tuheshimu wakubwa otherwise tunawapa shida wazazi wetu pindi wanatutambulisha kwa wageni wake.