.....kila mwenye hekima na aitumie kwa haki....makinika mapema..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.....kila mwenye hekima na aitumie kwa haki....makinika mapema.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Apr 22, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ....kujianika si jambo jema sana katika jamii....kubadirishana mawazo kunajenga akili,.. .....taifa lolote haliwezi kuendelea kwa kuwa na idadi kubwa ya wajinga... bali wenye uchungu na nchi ni wale waliojawa na hekima mioyoni mwao.....nao ni wale ambao......fikra na mawazo hayajatawaliwa na upumbavu na kujiona wao ni bora kuliko wengine....kwa pamoja tukiamka tutaweza kulijenga taifa lenye heshima huku tukiwapuza wenye ahadi mfu na pofu.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kama unaimba vile mkubwa. Si mbaya!
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  naona mzee fasihi kwako tatizo, maana hamna sauti za vyombo
  na mziki hapo, umetumia masikio kusoma ama? haaaa du! hiii hatari
   
Loading...