Kila mwanaume anaetangaza kuniowa namuacha

Umetupiwa jini na shangazi yako! hivyo nitafute niweze kulitoa hilo jini! ni PM fasta maana ndio msaada wako...pia kumbuka kuvaa condom maana unabadili sana wanaume na usipo nitafuta haraka utaendele kubadili wanaume matokeo yake utaukwaa........
 
Umetupiwa jini na shangazi yako! hivyo nitafute niweze kulitoa hilo jini! ni PM fasta maana ndio msaada wako...pia kumbuka kuvaa condom maana unabadili sana wanaume na usipo nitafuta haraka utaendele kubadili wanaume matokeo yake utaukwaa........

Bahat nzur cna shangazi
 
Asanten wakubwa kwa ushaur wenu nlichoamua mi kuokoka na kutulia nakumuomba mungu anipe mume mwema ambae ntatulia nae.
 
habari wana jamii forums me ni mgen kwenye jamvi hli.mimi ni msichana nna miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili na nina mtoto.tatizo langu mi kwamba nahisi nina shida katika mapenzi kwani kwa mwaka iliopita nimekuwa ma mahusiano na wanaume watatu kwa nyakati tofauti

Tatizo ni kuwa kiukweli nina bahati cna ya kupendwa na wanaume wa ukweli tu na kila mwanaume nnayekuwa nae huonyesha niaya kutaka kunioa..lakini tatizo nnlilonalo ni kuwa nikikaa na mwanaume kma miezi mitatu tu namuacha bila sababu yyote mpaka sasa kuna b frind ambaye nlikuwa nae mwaka jana tokamwezi wa kumi na hivi naandika nimemkatia mawasiliano sijisikii kuonana nae mkaka alinipenda cna na kunijali kwa kila kitu sasa ananililia kwenye simu ananiomba niende kwake tukaongee km labda kanikosea lakini ukweli hajanikosea ila tu cjisikii kuwa nae tena
Wadau nisaidieni je naweza kuwa na tatizo su ni hali ya kawaida nachanganyikiwa kwani kunuacha.mtu mliekuwa mnapendana anaweza hata kuniloga au kubifanyia kitu kibaya pia nahisi namkosea hata mungu kwa kufanya hivi.

kumbe unajua tatizo lako,kwanini usibadirike sasa?kaa ngojea kufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom