Kila mwananchi lazima apake nyumba yake rangi - DC Kinondoni

Mods pliz nawaomba msiunganishe uzi huu.

Ukinunua dai risiti, ukiuza toa risiti. JP Magufuli.

Nyumba zote ndani ya wilaya ya Kinondoni lazima zipigwe rangi. Dc Ally Hapi

Karibuni tujikumbe kauli nyingine mnazozikumbuka...
 
Waanze kwanza wao kuonyesha mfano kwa kupaka nyumba za NHC rangi,minyumba imeoauka kama nini alafu wanawaambia wananchi lazima wapake rangi hizo rangi watatoa wao?.
 
Sio mbaya,ila wakumbuke kuweka mfumo wa ukusanyaji taka jijini.Tunafanya usafi,tunakusanya taka mitaani,halafu after two days taka zote zinarudi zilikotoka zenyewe.
 
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi, amesema kila mwananchi wa Kinondoni lazima apake rangi nyumba yake, na watakapoanza zoezi hilo hakuna mchezo mchezo.

Chanzo: EA Radio

NB: Mjiandae huko Kinondoni. Tena nilikuwa na mpango wa kufungua duka la kuuza rangi kwa Manyanya ngoja nifanye haraka.
Wahindi kweli kiboko , wameona soko la rangi zao limepungua wakaamua kumpa dili dili mkuu wa wilaya , analizimishe wananchi wanunue rangi kwa lazima
 
Sio mbaya,ila wakumbuke kuweka mfumo wa ukusanyaji taka jijini.Tunafanya usafi,tunakusanya taka mitaani,halafu after two days taka zote zinarudi zilikotoka zenyewe.
This government should re think it's ways of doing things
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom