Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

Thread ziko kibao wanaume wanawekana sawa,sasa wewe badala ya kudeal na majukumu yako unataka kuhoji majukumu ya waume
Nimekuambia unipe angalau comment moja tu ambayo wanaume nanyi mnafundana unaleta bla bla..
Na hata nikihoji majukumu ya waume,wewe unaumia nini?

Unataka kunipangia cha kuhoji ama? Kwa hiyo wewe unataka ikija thread hapa tuitikie "Aameen"

Kusema ndoa inajengwa na wawili ni mashindano?
Au wewe ndiye unaona uanaume ni ubabeubabe ndani ya nyumba na mwanamke ndiye anayetakiwa anyenyekee ndoa?
 
Tatizo hakuna corelation yoyote kati ya malalamiko yako na hii thread,humu amedeal specificaly na wanawake wenzake sjaona alikosema kuwa wanaume hawana majukumu yao kwa wake zao,anayazungumza ya jinsia yake anayoyaelewa zaidi.Ndio maana kitchen party huwa wanakwenda wanawake tu.kama unaona hakuna thread za kuwashauri waume zao feel free kuianzisha na wanajamvi watatoa michango yao.
 
Unahisi ni nani kanidanganya mama?

Tunaishi kwenye community na tunayaona. Kuna waliokukuruka na hayo na wakaachwa,seuze wanaume wao kuchepuka.

Anyway,kila mmoja na mtazamo wake.

Huyo aliyekwambia "mwanamme lazima atachepuka" kakudanganya sana tena sana.

Mwanamme akiwa anatimiziwa haja zake hana haja ya kuchepuka labda awe ni shetani huyo, maana shetani hauna la kumfanya, kisha amuwa kuwa asi na ukiolewa na mwanamme namna hiyo katika Uislam kuna option ya kumpa talaka, hafai huyo kuwa mume.
 
Mkuu punguza ukali wa maneno , sasa nyie ndo mbajiita wife material?? Aisee kazi mnayo sidhani kama huo mdomo unauchunga hata ukiwa na huyo mume au hata wakwe zako! Alafu ukute wewe ni mtu mzima!! Unatoa matusi hivo.. Pole kwa familia yako kumbe"Age is just a number" now nimeamini.

Niuchunge wa nini na matusi ni raha za chumbani, hujichungi tupu zako ukiwa na mumeo ujichunge mdomo? Unanchekesha!

Hilo tusi nililotukana humu liko wapi?

Mkifundwa mnasema matusi, nini cha uongo hapo? Mkishakunywa ipobe yanu mnajuwa kuchamba nyinyi?

Mtu mzima jaluo bibi wee.
 
Hali zenu.
Ivi unajua kua kila mwanamke anauwezo wa kuifanya ndoa yake idumu au ianguke,kuimarisha au kuidhoofisha.
Sasa leo nataka nikupe experience ya mambo ambayo itasaidia kuijenga na kuongeza mapenz ktk ndoa yako na kwa wale watarajiwa wayajue haya.nakuapia ukimfanyia mmeo haya nnayoyasema mmeo kila kukicha atakusifu na atakutamkia hajajutia kua na ww,na kila siku atakumwagia sifa,na wengine furaha zao mpk wanatoa machozi,staki kuulizwa nmejuaje,coz nshawah kiyaexperience hayo maisha ndo mana nayaandika apa.read now
Kua mwenye KAULI nzuri na ya KUBEMBELEZA mda wote kwa mmeo.
Ww kama mwanamke jaribu ukiwa na mme wako mda wote mlegezee saut ,maneno matamu mda wote yawe yenye kumtulizisha akili.sio katoka na stress nje au kazini anarudi nyumban na ww unamjazia stress kwa kumtupia lawama za apa na pale.kuna kitu hujapendezwa msubiri atulie atoe machovu ,hayo mengin utamueleza baadae.
kua mwenye SUBRA.
maisha kuna kupata na kukosa,sio leo umeenda kwa shoga yako kanunuliwa kitu kipya na mmewe na ww unaanza kupanic ohh kwann mm sjanunuliwa,unajikausha unaliweka rohon ukirudi nyumban unaanza kumtupia lawama mmeo,flani kanunuliwa iki mm mpk leo hujaninunulia,jaribu wakat mko wenyew wawil faragha mnakula raha za apa na pale mueleze darling nahitaji unifanyie kitu flan na flani,anao uwezo wa kukuletea iko kitu atakuletea ,hana atakuambia usubir kdg,hakiwezi atakuambia hawez,ndo mana ukambiwa ndoa uvumilivu ,sio walioishi miaka 70 hawajapitia changamoto izo bali wamevumilia mpk leo hii wamezeeka pmj.
mwanamke jifunze kua MSAFI.
ndio msafi lkn usafi uwe wenye kumvutia mume mda wote na hata kutamani asitoke nje na hata akitoka basi akuwaze ,akutaman na hata kupanga kurud mapema ili awe mda wote na ww.hakikisha mda wote nyumba yako safi,ww binafsi msafi na mpk mmeo hakikisha akitoka umtizame kama yuko ok,nguo zake umempigia pasi ,umuweke sawa ndo atoke.
sio mume anarudi kazini anakukuta unanuka shombo,inahuu,mume anarudi akute umejipamba umependeza unanukia ,nyumba inanukia na nguo ya mtego unamvalia.
ndani ya nyumba pawe na UDI
mume akirud anaskia haruf ya mawardi ndani ya nyumba tu lazma akili imchangamke kwanza atajisemea kweli apa nmepata mke.fukiza nyumba yako udi,ww kaoge ukitoga kuoga jifunge kanga yako weka chetezo chini tia udi wako anza kujifukiza ,na nguo zako za jion za mitego zote fukiza,kuanzia mke mpk nguo unanukia.
mwanamke JIKO
ndio mwanamke jiko,kama ww kweli unampenda mmeo na unataka akupende ujue kupika sio kila siku unampikia chakula kimejaa chumvi,au chakula hakijaiva,au kila siku chakula ichoicho kimoja,jifunze kuhangaika kujua vitu vipya ili umfurahishe mmeo,uo mtandao unaotumia mda wote kuchat na kufanya mambo mngn jaribu kutafuta mahanjumati ujifunze ili umpikie bwana,ale chakula ajirambe aseme kweli mke kila sekta yupoJifunze kumbadilishia chakula leo iki mara kesho kile.mpk upishi! ajione kwel kapata mke.
kitu kibaya sana kwa mwanamke kua MVIVU.
Kitu kibaya ambacho kinawakera sn wanaume ni mwanamke kua mvivu,ila ndo wengn wanakua hawana jinsi kwasababu ndo washaoa tu,mda wote uwe mwenye kujituma ,na hasa zaid mume akiwa nyumbani,jaribu kumsoma mume wako,kwa kumtizama tu ujue asaiv mme wangu anataka maji ya kunywa,tengeza juice munywe,mda wote kua mcheshi tabasamu lisitoke mdomoni mwakousisubir mume akuambie nina njaa,kabla hajasema uwe ushaandaa ,jaribu kujiepusha uvivu ktk kila sekta ,kuanzia usafi ,upishi,mpk kitandani.
Kua MTUNDU
simaanishi utundu umkere mumeo,laa hasha.utundu wa mapenzi na kuziteka akili zake uyo mwanaume.mkiwa pekeenu wawil ndan ya nyumba au popote pale usikubal kumuacha mmeo anaangalia tv eti na ww unachezea simu au unafanya mambo yako binafsi,hehehe dada angu huo muda uko na mmeo ndani uuchukulie uo muda kama almas,mana unaweza ukafanya mambo kwako utayaona madogo lkn kwake atajiozea juu yako.Mfano..
tafuta ndizi moja imenye alaf jisogeze alipokaa umtanietanie umpigepige uku unajipakatisha miguu yako izunguke kiunon mwake kata ndizi kipande anza kula nae mdomo kwa mdomo mpk iishe huku umemshikilia unampapasa papasa.
...mkiwa faragha epekeenu popote pale haijalishi wapi muongelee pumba tu uku unamlegezea saut na kumbuka ukiwa na mmeo unamvalia mtego 24hrs sio unamvalia dera tafkir unaenda mnadani inahuu.jisogeze muongelee yale maneno yatamuongeza ashkiki mda wote .spend your time having fun,kissing,laughing,mnachezeana,kiukwel asikwambie mtu raha yake uiskie tu hasa mkiwezana,mana mkitizamana tu bila ya kuongea kila mtu muwasho unamuanza,io inakuja iwapo mwanamke atajiwekea ivo na kuzisogeza hisia zake mda wote na uyo mme wako.
MICHE ya kupandwa ndan ya nyumba.
Mwanamke hakikisha nyumba yako ina muasmini,mti wa kilua ,langilangi sio lazma yote na sio lazima kama hupendi but ni vizuri zaid iwepo ndani ya nyimba,na inakazi zake maalum na faida zake ni nyingi tyu.
Kila ikifika jion ukishatandika kitanda chako tupia asumin juu ya kitanda ,mume akirud asikie haruf tu inamtambalia.kwa wanawake wanaojua kikuba ni muhimu mana inatengezwa kwa io miche maua yke,kwa wanaotaka manjonjo asumini zinatengezwa vizurii kama kibanio cha ktk nywele zinazunguka nywele kama kibanio alaf kinaninginia kwa chin.ayo ndo maelezo kwa ufupi.
Wewe mwanamke JIPENDE.
wengine watasema ohh watu wa sehem flani wanapenda kujipaka na kuchora hina,Ndio tunapenda na hayo ndo mapenzi yenyewe kama hujui mwanamke sharti mwili uvutie ,mwanaume akikuona asitaman kutoa macho ktk mwili wako,we mwanamke jitahid kusaafisha uo mwil wako ,mana kuna wengn wanafuga nywele mwilin hazitoi,huwez kumfananisha kati yako na mme wako.
jipangie kila baada ya wiki mbili au mwez wenda saloon kufanya wax.jipendezeshewe mwanamke hayo kwa ufupi tu.
Usiwe mtu wa KUPANIC kwa kitu kdg.
limetokea tatizo ndani ya nyumba usikimbilie kwenda kutangaza nje ,umeskia neno kuhus mmeo msubir arud muongee umsikilize anasemaje ,na ww mwanamke ndo unauwezo wa kumbadilisha mmeo na si mtu mwngn,sio kila awepoe ktk ndoa eti watu nje wafurah ,wengine wanaumia nje wakiona umestareh na mmeo ,wanataman muachane leo kabla ya kesho,sasa ww jitahid kupunguza hasira likitokea tatizo,na hata likitokea basi usikimbilie kuwaeleza mashoga zako nje ,kwa wale wenye mashosti,ao ao mashoga ndo wezi wakubwa unashangaa anakuibia iviivi kisa kueleza mambo yako nje kwa kutoyamaliza ndani ww na mmeo.
Tunza SIRI za mme na beba MADHAIFU yake.
uyo ndo mmeo na umemkubal tangu mwanzo ndo mana ukaolewa nae,udhaifu wake uubebe ww ,ww ndo faraja yake,aibu yake ndo aibu yko ww.ana kasoro yyte ww ndo mshauri wake mkubwa wa kumsaidia,sio kwa kwenda kutangaza nje ohh mme wangu ana kibamia,ohh mme wangu skuizi haniachii hela,ivi ww unaenda kutoa siri nje unafikir watu wanakuskitia??hahahaha pole yako,ndo kwanza wanafurahi ,ila kwa nje utawaona kama wenye huruumaaa kumbe hamna lolote,jifunze kua kua msiri.
Jali na ipende FAMILIA yake.
ukishaolewa familia yake ndio yako ww.ukipenda ua penda na boga lake.kama unavowaheshimu wazee wako na nduguzo basi ndo ufanye ivoivo kwa familia yake,jipendezekeze upendwe,onesha furaha yako kua ktk familia ile,onesha ushirikiano wako ,onesha uwepo wako kwa kushirikiana nao ktk kila hali shida na raha.hayo kwa ufupi tu.
Jifunze kumuita MAJINA MAZURI.
Ivi ww mara ya mwisho kumwita mmeo majina kama beybe,darling,honey ,stwy,habiby,na kadhalika ni lini??sishangai lkn uo ndo ukwel,kuitana majina mazuri kama hayo huongeza hisia za mapenzi na upendo baina yenu ,so kama ulikua hufanyi u have to change from now on.
Kua mwenye MAAMUZI ktk baadhi ya mambo.
ww mwanamke unauwezo wa kufanya baadhi ya maamuz na yakakubalika bila pingamizi lolote.naanza kuongelea kwa wale wapenda mazoez,unamwambia kabisa mmeo kwa lugha safi na laini ,hata akiwa mbishi hataki mwisho atakubali tu kwa jinsi unavomlea mume ni kama mtoto jamani.mume wangu asbuh na jion kila siku lazma tufanye mazoez mm na ww,mtafanya,mme wangu usku staki tule vyakula vizito ,ntakua nakuandalia vyakula vyepes kama mixed fruits na kitu flani.mambo kama hayo mbona mambo mdg atazoea taratibuu tu.Mwisho anazoea,live in healthier life.
Usisubiri kila siku UANZWE ww tu.
kiukweli hii ndio ipo sana na si kitu kizuri kila siku mwanaume ajitutumue akufate yy wa kwanza,mana atahis yy ndo mda wote anamatamanio ww mwenzake na mie huna hisia nae,mwisho ndo wale baadh ya wanaume wanajifanya makauzu japo wanataka wanaenda kuchepuka,ndio kwasababu na ww ushajizoesha uanzwe.kila ukiwa na faragha jitoe akili jigandishe mda wote karibu yake ,mshikeshike mda wote manjonjo mengn utaongeza ww simalizii.
usiwe gogo unapokua ktk zile RAHA zetu za sita kwa sita.
Najua kuna wengine wanakua kama magogo ,ndio kwasababu hawajishuulishi,hebu ukiwa na uyo mmeo akili itulize iwaze hapo tu ktk Ibada kuu alaf utasema how it feels.sio unawaza mhh ninanguo za kufua mie mara sjui sjapika mara ohh mtoto sjampigia pasi nguo zake,bibi weee mpe raha bwana uyo ayo mengine yatafata.mhh mana yapo haya mambo ndo mana nasema,utaskia mtu anasema ohh spati raha wakat la tendo la ndoa iyo ni moja ya sababu inachangia kutotuliza akili yako wakat ule,tendo la ndoa linahitaji heshma yake,wengn stress .jitahidi kutuliza akili iwaze kwa iko mnachotaka kukifanya na ujitaarishe kupeana raha,toa ushirikiano wako wote ,toa mihemo unapohis umekunika,sio umetulia kama sanamu bana ahhh kuwapotezea wenzenu stimu kisa na mkasa.mkitoka apo nyote mmeridhika sio mmoja karidhika mmoja anatoka karidhika lkn roho upande.tubadilike.
Weka UTARATIBU wako binafsi
MFN.kila wakati wa kula mnawishe mmeo mikono ndo mule chakula,maoenzi hasaa ni kula sahani moja sio kila mtu yake,na kulishana ikiwezekana ujipakatishe au ujiegemeze kwake mnalishana uku unampa maneno malaini hata kama anastress zake uko akija apo ww ndo barafu lake la moyo unamyayusha kiulainiii.MFN MWINGINE.mume wako mfanyie singo kila baada ya wiki mbili au mwez kutokana na mda wako,ndio singo mana si wote huwafanyia waume zao ni wachche sna na hayo ni miongoni mwa mahaba na kuongeza mapenz mana mume ataona duh yani mke wangu anayonifanyia sjawah fanyiwa nje na sidhan kama atatokea atakaenifanyia.tutaliongelea zaid siku ingine mada ni mada ingine io.
MFN mwngn.kua na utaratibu wa kumsafisha sehem zake nyeti (kumnyoa).ndio nasema ivi coz si wanawake wote wanayafanya haya ni wachache sn sn.so badilika kama ww ni mmoja wapo,sio lazmalkn ni mbinu tu moja wapo ambayo itaongeza mapenz ktk ndoa yako.
Usijitie KIMBELEMBELE.
Ivi unajua wanaume wanataka uhuru,sio mda wote umbanebane tu,simu yake imeita yy kaenda kuoga eti unaipokea ww ujue ni nani,ww mwanamke kama unatabia io naomba uache kuanzia sasa,acha usipokee subir arud umpe sim yake umwambie aim yako ilikua inaita,kwanza atashangaa mke wangu ananiamin sn,hata kama anafanya maov roho itamsuta.na atabadilika tu.kila mwanzo una mwisho.muhim mambo uyachukulie taratibu sio papara na kimbelembele chako dada angu kitakuponzaaa.
SHANGA na VIKUKU
ivi unajua matumizi ya shanga?mana skuiz wanawake tunajijaza shanga kiunoni hata kumi tukizani urembo tu,ndio urembo utakapozitumia vzry,sio uzibambikie tu na wala hujui zinamaana gani ,umemuona flan kavaa na ww ujibambikie tu shanga kumi kiuno kimoja.shanga zinavaliwa moja,tatu,tano na kuendelea in odd no.na kila shanga ina maana ake ,na faida ya shanga mwanamke kua nayo kiunoni ni kumuongezea hisia ya mapenzi yy na mwenza wake wawapo faragha,na hmuongezea hisia zaid mwanaume anapokodoa macho kiunon mwako akakutana kiuno kimepambwa na kimezungukwa shanga na pale anapozichezea...vikuku vya miguuni mwanamke lazma uwe navo,najua wengine wanahesabia kuvaa vikuku eti umalaya ,si kweli,kua malaya kwa mmeo jitoe akili ,nakuapia hatotamani nje kamwe.
UNAPOMUAGA mmeo na MAPOKEZI ya nyumban.
Ndio lazma na ili nilizungumzie,linaonekana ni jambo la kawaida mume kutoka kwenda zake kazini hali ya kua mke bado yuko ndani hajui mmew katoka mda gani na wala kuagana hawajaagana basi hata wakiagana ni ya maneno tu haya tutaonana jion,jamani tubadilike,mme wako kabka hajatoka mtizame alivovaa yuko safi?amependeza?ananukia? Nywee umemchana,vyote ivo mtizame kuanzia juu had chini,hapo ndo umuage kwa mabusu huku mmeegemeana,na umpe baraka zako na kumwambia safar njema.hayo ndo mapenzi.na akirudi kutoka kazini umpokee kwa bashasha na mabusu akikaa tu umvue viatu umpe glass ya juice ya parachichi na embe utakosha moyo wake huku ukimpa pole na machovuna mengine yafate kama kumkanda mwili kumtoa machovu na mengn,hayo kwa kufupisha tu.
JAMANI SITOMALIZA KUANDIKA
Kwa leo yanatosha hayo,huo ndio ujuzi wangu niwape na nyie wadada wenzangu myajue mlokua hamyajui au niseme niwakumbushie kwa yale mlokua myasahau .kiukweli yapo mengi sana ila naamini hapo mmepata kitu jaribu uone ,ww ndie uliekua na uwezo wa kubadilisha ndoa yako kua maridadi na si mwengn. mtanisamehe kwa nliowakera .Nimalizie NAWAPENDA SANAAA.
Shukran.
Mwanamke wa namna hii Huyo n golikipa na c mwajibikaji :D :D :D
 
Usijidanganye,mwanamke yeyote ana wajibu kwa mumewe awe golikipa au mpiga mashuti wote wana wajibu sawa kwa waume zao, kinachotakiwa ni kutambua wajibu wako kama mwanamke na kutimiza vile vilivyo ndani ya uwezo wako
 
Huu ndiyo udi wa mawardi:

AgarWoodOUD-300x225.jpg

Hauujuwi udi wewe, labda uliunusa udi wa mkokokoriko ambao hata mimi nikiusikia sikai ndani ya hiyo nyumba, nnatoka saa hiyo hiyo, unachefuwa vibaya sana.

Upate udi haswa wa mawardi, kwanza utauliza nini hiki leo humu ndani.

Harufu yake ni "aphrodisiac". Cheza na udi wa mawardi, hata hizo perfume za ghali hivi sasa duniani zina oud. Jisomee:

One of the most popular ingredients in fine perfumery today is oud/oudh/aoud, or agarwood, amaterial as ancient as the art of perfumery itself, literally rooted in the culture of the East and highly prized for its unique, aphrodisiac and sensual aroma. Over the past few years this rare and expensive ingredient has made its way into Western style fragrances in the form of numerous perfumes focused around it; although it has occasionally been used in smaller amounts, in uber luxe niche fragrances, and men's scents; until recently, it has rarely been used as the centerpiece of conventional perfume compositions.

Chanzo: The Mysterious Oud Wood & It’s Ancient Heritage + M. Micallef ‘Three Oud’ Perfume Draw | Cafleurebon - Perfume and Beauty Blog

PS. Unajuwa kuwa hata neno "wood" la Kingereza limetokana na Kiarabu, Oud.
Duh! Unanitia hamu sasa, nimezoea zile Udi za madukani! Ila huyu wifi yako mambo ya udi hajawahi na hatawahi kuyatumia, sasa inabidi nitafute muumini wa udi nipate raha na radha yake.

Hivi udi na ubani ni vitu viwili tofauti?
 
Mtafutie perfume zenye udi, achana na mambo ya kutafuta nje ya ndoa.

Udi na ubani ni vitu tofauti kabisa.

Hakuna muumini wa udi, matusi hayo.
 
Humu kuna mijitu imetoka machokoroni huko, wao na udi wapi na wapi? Hata maji hawajui kujisafisha katikatu[pu zao.

Yanaudhi.
Duh, hajajisafi halafu anakuwashia moshi wa udi, vikichanganyika tu basi unatoka nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom