Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

acha kujidanganya mdada, nadhan ulisha wai sikia kuwa "mzigo mzito mwachie msukuma" sijui kauli hii we aijuaje, ila wwa wanawake wa kitanga wanaosifiwa kwa kujua mambo hayomaneno ndo waliyoyasema, kifupi wasukuma wamekatishwa na kulimishwa sna mikonge na hata kuima na kupalilia mashamba ya miazi kule Tanga, na kwwa ulezi wao na kuwa mabwege ndo wakajikuta wanaipendezesha Tanga na kurudi kwao wako Pumbu tupu:smile-big:
 
jamani si kila mwanamke<<<<<<<<mwanaume anapaswa kuwa mwanaume tu toka kuzaliwa kwake na mambo yake yanapaswa kuwa ya kiume, sasa hawa wasukuma wanapokuwa wapole, wanyenyekevu hii ni nini sasa amekuwa mwanamke?......mi nilikuwa na mwanaume wa kisukuma nikamwachilia mbali mambo yao siyo ya kiume..............!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulisahau password?
Join Date : 24th October 2012

Location : bukoba
Posts : 3

Rep Power : 0

Likes Received 0

Likes Given 0
 
sijawahi ona wanaume dhaifu kwa wanawake kama wasukuma ,yuko radhi umlipe ujira mdogo ila awe na uhakika wa k ni waoga , wavivu wao ni ngono tu. Poor them

Mh!, everything else is super except for the last two sentences :angry:
 
Back
Top Bottom