pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Ashukuriwe mungu wetu kwakutu kutanisha humu tena.thamani ya ng'ombe,mbuzi, nguruwe na wanyama wengine wengi ni nyama. Lakini jee thamani ya mwanadamu nini ?
Nimekuwa nikijiuliza swalihili kwamuda mrefu bila yamajibu ya uhakika.
Nina jiuliza kwani kilamtu ana thamani lakini jee thamani yake nini? Je kama mwanadamu nyama yake hailiwi na wala hauzwi kwa vipande vya fedha jee thamani yake iko wapi??.
"Nikwanini tunasema mwanadamu ana thamani kuliko mnyama. Ilihali mwanadamu hana chazaidi ya mnyama??.
"Kama mwanadamu ana thamani zaidi ya mnyama kwasababu tu anautashi jee nikwanini mwanadamu mtoto mdogo kabisa asie jua lolote nayeye awe nadhamani zaidi ya mnyama??. Au mtu zezeta na mtu asiye fanya kaziyeyote awe na thamani kuliko punda mlimaji na ng'ombe mkokota garilake au farasi mbeba mtu, nikwanini mwanadamu mpumbavu awe na thamani kuliko sokwe mwenye akili zakujitambua. Nini siri ya udhamani wa mwanadamu??.
"Nilikwenda kwenye msiba wa Bibi kikongwe, wa umri wa miaka 110 , Bibi akiwa hai alikuwa hana chochotekile akiwezacho kilakitu yeye alikuwa aki fanyiwa, lakini alipo fariki watu walilia. Jee nikwanini watu walilia ?.
"Kwenye msiba wa mtu zezeta asie weza,chochote na anae hudumiwa kwa kilakitu watu hulia pia nikwanini watu hulia ilihali, mtu huyu (hafanyi lolote) kama mbuzi??
"Ajabu nikwamba hata kwenye msiba wa gaidi au katili au fisadi au mnyang'anyi, fala , changudoa , kilaza, nk watu hulia pia nikwanini watu hulia kwenye misiba ya watu kamahao wasio kuwana mema? Natena siku ya misiba yao mabaya yao yote walio yatenda kipindi cha uhai wao hufunikwa nakutajwa memayao tu!??
"Kama kwenye msiba wawatu wasio zalisha chochote wala kufanya lolote , nahuku watu hao wasio zalisha chochote, thamani zao kwenye misibayao basi bilashaka thamani ya mtu sio fedha , mali , uzuri , akili , utashi , tabasamu nk.
"Bali thamani ya mtu ni uhai na uzima , kamadhamani yako ni uhai na uzima nandio maana unapo kutoka uzima watu hukulilia. Basi nikwanini wewe usi utafute uzima wa milele??
Nikwanini wewe usi utafute uhai wa milele ? Ili wewe uzidi kuwa na thamani ??.
"Jee wewe wawaheshimu wazazi wako ili kupewa thamani zaidi kwaku zidishiwa miaka mingi na heri duniani??.
"Jee nikwanini wewe wahangaika na vitu usivyo vijua kwaku angaika na mali usizo kuwa na uhakika nazo kwani hujui kama,utapata au utakosa nikwanini usi jiandalie kifo chema maana katika vitu ulivyo na uhakika navyo basi hakuna kituhata kimoja ulicho na uhakika nacho kama kifo??.
"Kama thamani ya mtu ni uhai jee wewe wayatenda mema ili mola wako akuruzuku uhai wa milele??.