Kila mwanaccm mwenye akili timu anajua wazi ushindi tunaopata ni sio kipimo halali ya chama kukubalika

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Habari zenu ndugu zangu huko nyumbani. nimepigwa na butwaha pale niliposikia mtu maarufu mwanachama makini wa chama cha CCM akikiri mwenyewe kwamba ushindi wanoupata nyakati za chaguzi za marudi sio kipimo halali cha chama chao kukubalika. hapa tulipo Peoria Illinois USA ni saa nne na dakika 44 am tumekutana na huyu baba yetu tukamsalimia mimi na rafiki yangu, sasa akaamua kutuambia ukweli.

Baba yetu bila kusita katuambia mabinti zangu msifikiri kuwa chama cha mapinduzi kinakubalika kupitia matokeo ya chaguzi zote za marudio, ukweli ni kwamba matokeo yote yanalazimishwa kwa nguvu, wala hakuna mwanachama mwenye akili timau anayekubaliana na ushindi huo kuwa ni kipimo cha chama kupendwa ila tu siku inakuja itakayowashangaza watu na kujua kuwa chama chetu kimeharibiwa na hizi sarakasi zinazopigwa ambazo hazionyeshi sura nzuri ya nchi huko tunakoelekea.

Mimi na rafiki yangu tumebaki na mshangao, huku tukitazamana na kuamua kumuaga Baba yetu kutoka nyumbani maana hatujui ya moyoni mwake.

Nawatakia amani na umoja ili nasi tuje tufurahia nchi yetu turudipo nyumbani
We love our country and we always keep her in our daily prayers
 
Unadhani umeandika jipya basi,CCM imesemwa haikubaliki toka enzi za akina Kambona ila mpaka leo ipo na kwa namna hali ilivyo bado ina miongo kadhaa madarakani.
 
Habari zenu ndugu zangu huko nyumbani. nimepigwa na butwaha pale niliposikia mtu maarufu mwanachama makini wa chama cha CCM akikiri mwenyewe kwamba ushindi wanoupata nyakati za chaguzi za marudi sio kipimo halali cha chama chao kukubalika. hapa tulipo Peoria Illinois USA ni saa nne na dakika 44 am tumekutana na huyu baba yetu tukamsalimia mimi na rafiki yangu, sasa akaamua kutuambia ukweli. Baba yetu bila kusita katuambia mabinti zangu msifikiri kuwa chama cha mapinduzi kinakubalika kupitia matokeo ya chaguzi zote za marudio, ukweli ni kwamba matokeo yote yanalazimishwa kwa nguvu, wala hakuna mwanachama mwenye akili timau anayekubaliana na ushindi huo kuwa ni kipimo cha chama kupendwa ila tu siku inakuja itakayowashangaza watu na kujua kuwa chama chetu kimeharibiwa na hizi sarakasi zinazopigwa ambazo hazionyeshi sura nzuri ya nchi huko tunakoelekea.

Mimi na rafiki yangu tumebaki na mshangao, huku tukitazamana na kuamua kumuaga Baba yetu kutoka nyumbani maana hatujui ya moyoni mwake.

Nawatakia amani na umoja ili nasi tuje tufurahia nchi yetu turudipo nyumbani
We love our country and we always keep her in our daily prayers
Mmmmh huyo atakua mkweli/sio mkweli, mwambieni akija hapa ayaseme in public ili tumuulize maswali ya kutosha. Watu wengi wanahisi hivyo ila nanyi mngemuuliza maswali sasa unatuletea vitu nusu how can we discuss
 
We interviewed him a little bit na alikuwa muwazi sana, ila siwezi kuandika everything for the wisdom's sake
 
Unadhani umeandika jipya basi,CCM imesemwa haikubaliki toka enzi za akina Kambona ila mpaka leo ipo na kwa namna hali ilivyo bado ina miongo kadhaa madarakani.

Soma elewa, hajasema haipo ila kasema ipo sio kwa ridhaa ya walio wengi. Iwapo wananchi wataendelea kuwa makondoo mtatawala mpaka mwisho wa dunia ila mvumilie kuwaongoza wasiowakubali. Pata picha unataka busu kwa mwanamke uliyembaka.
 
We interviewed him a little bit na alikuwa muwazi sana, ila siwezi kuandika everything for the wisdom's sake
Basi the same wisdom your using of not writing on what you discussed with him, the same wisdom you can use to avoid providing us with sweeping statement till the day you find that the situation allows you to talk the truth
 
Unadhani umeandika jipya basi,CCM imesemwa haikubaliki toka enzi za akina Kambona ila mpaka leo ipo na kwa namna hali ilivyo bado ina miongo kadhaa madarakani.

Kuwepo siyo kwa sababu ya kupendwa bali kulazimisha kwa kutumia nguvu za dola, ebu wakubali kuwepo na tume huru na vyombo vya dola visimamie haki bila kulalia upande wote tuone kama ccm watafika asubuhi hawavuliwa madaraka ya kulazimisha
 
Basi the same wisdom your using of not writing on what you discussed with him, the same wisdom you can use to avoid providing us with sweeping statement till the day you find that the situation allows you to talk the truth
What would you like me to write? others have understood the message except you
 
Soma elewa, hajasema haipo ila kasema ipo sio kwa ridhaa ya walio wengi. Iwapo wananchi wataendelea kuwa makondoo mtatawala mpaka mwisho wa dunia ila mvumilie kuwaongoza wasiowakubali. Pata picha unataka busu kwa mwanamke uliyembaka.
Hiyo idadi ya wasioikubali na wanaoikibali nyie mnaipataje? Weka na takwimu tuone otherwise hizi ngonjera siyo mpya.
 
Back
Top Bottom