Kila mwalimu atapata Laptop

Jumaa gosso

Senior Member
Sep 4, 2016
188
127
Habari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
fbc1ce16095f6c469210cbce452ebe2d.jpg
 
Habari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
fbc1ce16095f6c469210cbce452ebe2d.jpg
Ahadi ni deni, ni kweli kila mwalimu atapata laptop ila haikuwekwa time frame ni lini, hivyo ahadi hiyo bado ni firm kuwa kila mwalimu atapata laptop sambamba na ahadi ya million 50 za kila kijiji.

Ikifika 2020 bila kutekelezwa ndipo unaweza kuhoji.

P
 
Hiyo ahadi ya Laptop iliahidiwa lini na wapi, any source or any video footage ?
 
Kashindwa kupandisha mishahara na madaraja kitu ambacho ni statutory. Hizo kompyuta mpakato atatoa wapi? Kipindi hichi ni kigumu kuliko vyote watanzania wenzangu,lazima tusome namba mpaka za kiebrania!!!!
 
Ahadi ni deni, ni kweli kila mwalimu atapata laptop ila haikuwekwa time frame ni lini, hivyo ahadi hiyo bado ni firm kuwa kila mwalimu atapata laptop sambamba na ahadi ya million 50 za kila kijiji.

Ikifika 2020 bila kutekelezwa ndipo unaweza kuhoji.

P
Labda ziwe na ram ya zero gb
 
Leo UVCCM Mtwara Masasi wameandamana kumpongeza rais.
Wanasubiria fefha za makinikia, duuuuuuyujhhh nimecheka kinoma.
 
Just be positive, hope for the best kuwa kila mwalimu atapatiwa laptop.
P.
Hehehe wasukuma buana na AHADI ZENU.
Nakufananisha na ule usemi kwamba, ndege ikipita mtoto anamwambia baba ninunulie ndege kama ile (mtoto) baba anaitikia kwa kusema usijari mwanangu ikishuka ntakuletea.

Ivi kweli kwa akili ndogo tu useme laptop zitatolewa kwa kila mwalimu;......
1.wakati kuna shule nyingi hazina umeme hadi muda huu.
2.ameshindwa hata kuwapandisha madaraja.
3.hawezi hata kuwaongeza mshahara hao walimu au HIZO ZA MSHAHARA NDO ANATAKA AZIHAMISHIE KWENYE LAPTOP?

Kazi bado ni pevu sana mkuu siyo rahisi kama unavojipa matumani ya kujichosha badala ya kuwaambia watu ukweli zaidi ya kutengeza chuki baina ya mtoa ahadi na mhaidiwa.
 
Back
Top Bottom