Jumaa gosso
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 188
- 127
Habari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
Mkuu wewe huwa unaamini ahadi za ccm basi huwajui vizuriHabari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
Ahadi ni deni, ni kweli kila mwalimu atapata laptop ila haikuwekwa time frame ni lini, hivyo ahadi hiyo bado ni firm kuwa kila mwalimu atapata laptop sambamba na ahadi ya million 50 za kila kijiji.Habari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
Hebu acheni porojo za mihemko ya kibavicha, wekeni chanzo cha ahadi hiyo au video tuione !Habari wada JF hivi munakumbuka ileahadi ya Raisi kwenye kampeni ya kila mwalimu atapa Laptop
Hiyo ahadi ya Laptop iliahidiwa lini na wapi, any source or any video footage ?Ahadi ni deni, ni kweli kila mwalimu atapata laptop ila haikuwekwa time frame ni lini, hivyo ahadi hiyo bado ni firm kuwa kila mwalimu atapata laptop sambamba na ahadi ya million 50 za kila kijiji.
Ikifika 2020 bila kutekelezwa ndipo unaweza kuhoji.
P
Hahaha laptop zipi dell ehhhhhMwambie mbowe anadaiwa nauli ya wema pale kia
Labda ziwe na ram ya zero gbAhadi ni deni, ni kweli kila mwalimu atapata laptop ila haikuwekwa time frame ni lini, hivyo ahadi hiyo bado ni firm kuwa kila mwalimu atapata laptop sambamba na ahadi ya million 50 za kila kijiji.
Ikifika 2020 bila kutekelezwa ndipo unaweza kuhoji.
P
Just be positive, hope for the best kuwa kila mwalimu atapatiwa laptop.Labda ziwe na ram ya zero gb
Hahaha.Lets hope so brother.Just be positive, hope for the best kuwa kila mwalimu atapatiwa laptop.
P.
Hehehe wasukuma buana na AHADI ZENU.Just be positive, hope for the best kuwa kila mwalimu atapatiwa laptop.
P.