kitendawili,tega.bandika nikubandue=picha!
<br /><img src="http://2.bp.blogspot.com/-Mg_lRZePwRk/TmdgJm_t7zI/AAAAAAAA9OE/GT4ufDcYc6M/s1600/T-M2.jpg" border="0" alt="" />
Hapa bado chenga chenga.
Sijakuelewa mkubwa fafanua....... wakaka wamependeza hawa, mashalaa.
Tazama vizuri huo mkono wa kushoto wa huyo bwabwa mweupe na haswa kidole kileeeee...........!!! Ee MUNGU turehemu!!
sogeza antenna mrembo.
<font color="#800000">Nilikuwa juu ya bati natafuta direction nimepata picha asante kwa ushauri.</font>
Sijakuelewa mkubwa fafanua....... wakaka wamependeza hawa, mashalaa.
Hawa watoto watakuwa wanafanya matusi pamoja. Mmoja haswa mwenye blue atakuwa anafanya kama mama na mwingine baba.