Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 12,339
- 11,388
Mimi menyewe ukichaa wangu naomba nisipewe siraha maana nikichukia nakua km simba kwa kuunguruma:Naomba tuchangie tufanyeje ili kizazi hiki kitulie kisipate ungonjwa km wa kwangu mimi huwa naweza kutulia kwa kuwa busy muda mwingi nafanya kazi napenda pia utani naomba mtusamehe sisi wenye hasira ila mimi napenda kushaurika na kijichanganya hapa kuchichangaya na maanisha kujumuika na rika mbalimabali. Karibuni