Kila mtu hufurahi akiambiwa "Mtoto Huyu Kafanana na Baba Yake"

Mwanangu huyu wa mwisho alipokuwa na umri wa miezi hadi miaka miwili alifanana sana na muuza Genge wa hapa jirani kiasi ilikuwa tabu kubwa kwangu. Ajabu sasa ana miaka minne anafanana nami dhahiri hata mwenyewe nakiri kafanana nami... Ila shaka yangu juu ya muuza genge ingalipo japo namwamini mke wangu.

Mkuu kwa nini umekuwa na hisia mbaya na muuza genge?
 
Back
Top Bottom