Kila mtu anakula mahali pake pa kazi-mwantumu mahiza mkuu wa mkoa wa pwani,umenihuzunisha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtu anakula mahali pake pa kazi-mwantumu mahiza mkuu wa mkoa wa pwani,umenihuzunisha sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 20, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Ni vituko vya mwaka kwa kweli niliposikia clouds fm mama mtu mzima anajigamba yeye amefanya kazi kama naibu waziri miaka mitano akitetea swala la watoto kuwekewa alam..huku bila aibu akidanganya ati watoto hao wanaumwa moyo na kifafa na si ukimwi

  pengine hujui hii topic..kuna shule pwani wameweka watoto alama wanaoumwa ukimwi ..habari hizi ziliendelea mpaka kwenye magazeti mpaka wanaharakati walipopelekwa na kuona live..

  Katika kujibu mama huyo mtumzima akidai yeye ni mwenye busara sikiliza majibu yake

  ""nimepiga jahazi kuwajulisha wapenzi wa jahazi waajue ukweli ni kweli watoto hao wamewekewa alama na kisa wanaumwa moyo wengine kifafa na wazazi wao wanajua hili....wakati huo huo akiulizwa kuhusu kwa nini wawekewe alama akajichanganya nafikiri hili swala tuwaachie walimu nahisi wazazi wao wamekubaliana na awakukurupuka tu kuweka alama

  alipoulizwa mama mwantumu kuna uhakika kuna taasisi ambayo inatoa misaada shuleni na ndio waliotoa masharti watoto wanaoumwa kuhakuksha wanawekewa alama..wewe kama mh mkuu wa mkoa unaonaje uoni kuna mambo ya maslahi hapo sikia jibu

  """nyie jahazi naomba muwe watu wazima kila mtu anakula mahali pake pa kazi msituaribie kazi kabisa ""
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  loh
  miezi kadhaa unasema hivyo kama mkuu wa mkoa
  ukiwa naibu umetuibia vingapi mama kwa style ya kila mtu anakula mahali pa kazi sikiliza kesho kibonde kasema atairudia
   
 3. C

  Chief wa kibena JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2016
  Joined: Mar 13, 2016
  Messages: 690
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  cc kwa yerusalem
   
Loading...