Kila mtu ana mama kama zito kabwe

tgeofrey

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
558
15
Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi kuzaliwa. Adhabu chadema waliyompa zito ni zaidi ya uhai, mtu anaye kupenda atapenda uhai wako. Uhai sio kupumua uhai Ni mjumuisho wa amani iliyokuzungukaka hata kama unakula mlo mmoja kwa siku. Hatuko sawa tuna makosa makosa yana pishana ushindi haupatikani milele ,Mpaka msawazisho wa mapungufu upatiKane( compassesion of weakness)
 
wapi imeandikwa
chadema ni zito familly
mwacheni zito acheni kumsemea yeye mwenyewe anajua
waht nexty;
 
Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi kuzaliwa. Adhabu chadema waliyompa zito ni zaidi ya uhai, mtu anaye kupenda atapenda uhai wako. Uhai sio kupumua uhai Ni mjumuisho wa amani iliyokuzuka hata kama unakula mlo mmoja kwa siku. Hatuko sawa tuna makosa makosa yana pishana ushindi haupatikani milele ,Mpaka msawazisho wa mapungufu upatiKane( compassesion of weakness)

Then what?
 
Ngoja nilale, sijaelewa kabisa... mauchovu haya ya jumamosi yanatufanya tuwe slow labda! Nimetupwa nje kabisa na kamba hii.
 
I AM NOT THERE IT U AND UR MOM. ALSO FOR ME AND MY MOM AND FOR EVERYBODY ELSE AND THEIR MOMS. KWA MAONI YAKO SIWEZI KUKUSAIDIA KABISA ILA NAWEZA KUWASAIDIE WATU WATAKAO ELEKEA KUWA NA MTAZAMO KAMA WAKO WAFIKIRI KIDOGO KABLA HAWAJAJIUNGA NA WEWE. NI NA MSAADA MITATU HAPA 2 PAC, BOYS II MEN NA SPICE GIRLS WAKISEMA KIDOGO KUHUSU MAMA

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=JNcloTmvTeA[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=IAh0Tn0B8Gk[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=eS8LzPf4dLs[/ame]
 
mbona ndugu yangu sikuelewi nitakusaidiaje sasa



hapa tena nimetoka kapa



am totally lost
asante nimerekesisha silabu pungufu. ( iliyokuzunguka) usiwe na wasiwasi utanielewa muda ni bure(time is free) na wakati ukuta (time tells)
 
Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi kuzaliwa. Adhabu chadema waliyompa zito ni zaidi ya uhai, mtu anaye kupenda atapenda uhai wako. Uhai sio kupumua uhai Ni mjumuisho wa amani iliyokuzungukaka hata kama unakula mlo mmoja kwa siku. Hatuko sawa tuna makosa makosa yana pishana ushindi haupatikani milele ,Mpaka msawazisho wa mapungufu upatiKane( compassesion of weakness)
Nikishindwa ntakupa mji (kigoma!)

Uhusiano na mapenzi kati ya mama na mwana ni makubwa muno kiasi kwamba lolote linalomsibu mama litamgusa sana mtoto, hali kadhalika litakalomkuta mtoto litamshughulisha mama. (hii ni nadharia ya jumla)
Kwa kutumia nadharia hiyo, mwanzisha thread anaiambia hadhira ya JF na wasomaji wake kuwa, uhusiano katika ya Zitto na Mama yake una uzito huu huu, hivyo lolote litakalomfika mama au Zitto mwenyewe katika chama cha siasa (CHADEMA) litawagusa wote wawili. Matharani, haiwezekani CHADEMA kikamwondolea Mama Zitto uanachama wake, harafu mwanawe (Zitto) akabaki kimya, au jambo hilo lisiguse hisia zake. Kuuugusa uanachama wa mama, ni kuigusa vile vile mboni ya jicho la mwanae.
Yamkini mwandishi anataka kusema Mama Zitto kuna jambo kafanyiwa, ambalo matokeo yake limemuudhi Zitto, na hivyo anakusudia kuchukua hatua kwa uchungu wa mamaye.
...nimepata, nimekosa?
 
Makofi papapapa imara papapa hongera papapapaa

kipindi cha mama na mwana ndio kiko katikati sasa ni vitendawili vingine halafu tumalizie na hadith.

(NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU AU EMAIL TUKUTUMIE KADI YA MAONGEZI KAMA ZAWADI YAKO)
 
Au mzee ulikuwa unataka kutuwekea hizo nyimbo ndo ukaforce thread?coz i dont get ur point.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom