Kila mtu ana kwao, Kila mtu afe na kwao, Bongo au zenji chagua moja

Sasa kama unamlaumu mwalimu,unasema Zanzibar kuna wasomi zaidi na wenye pesa zaidi,na pia unasema say no to the union,nini kinakukasirisha akitokea mtu akasema mrudi Zanzibar muungano ukivunjika?Ama mnataka kuitawala Tanganyika?[/QUOTE

Mkuu hivi muungano ukivunjika kwa nchi zilizoungana inakuwa hivi ? kuna nchi nyingi ziliungana na muungano ukakoma na kuvunjika na hatujasikia hizi ndoto za disappointed and desperate people kimaisha kuachiwa majumba na vitu kadhaa. ama ukivunjika itakua vita ? kama ni vita mmh naubakie ! lakini kama process maalum kwa walioungana na uvunjike. kwanini inakua nongwa watu wakisema na uvunjike ?
Sidhani kama mnaopinga muunagano munau refere as muungano,nyie mnasema ni koloni la Tanganyika,sasa uhuru ukipatikana mnataka wakoloni waendelee kubaki?
 
Sidhani kama mnaopinga muunagano munau refere as muungano,nyie mnasema ni koloni la Tanganyika,sasa uhuru ukipatikana mnataka wakoloni waendelee kubaki?

Mimi kama mimi sichukulii kama kuna mkoloni ktk muungano huu ila ukweli utabaki pale pale muungano huu hauko sawa na waliounganisha walikurupuka na hawakua na upeo mkubwa ama kwa woga au kwa kuiga. ndio maana tupo hapa tulipo.
 
walikuwa na akili kushinda wewe,wala hawakukurupuka znzbr ni bara tu waingereza walikosea mbona na mafia ukubwa unakaribiana tu.!!!
 
Ami, Mandi,

..mkataa kwao MTUMWAA.

..wa-ZNZ mnasema hamtaki muungano, lakini mkiambiwa mrudi kwenu mnadai hizo ni fitina.

..hakuna anayetaka kuleta shari hapa. wa-ZNZ bila kulazimishwa na mtu yeyote yule mnadai kuvunjwa kwa Tanzania, na kurejeshwa kwa Tanganyika na Zanzibar.

..katika mazingira hayo uraia wa Tanzania utakoma, na mchakato kuhusu uraia wa Tanganyika, pamoja na uraia wa Zanzibar, utaanza.

..kwa msingi huo wa-ZNZ mlioko Tanganyika itabidi mrudi kwenu Zanzibar, na wa-Tanganyika walioko ZNZ itabidi nao warudi nyumbani.

..narudia, mkataa kwao MTUMWA.
 
Last edited by a moderator:
Mind tukimaliza kuwarudisha kwao wapemba,tutataka na sisi wa Dsm tubaki peke yetu,je na wewe utabaki Dar au.....,utarudi bush kulala na Ng'ombe,Man'ake bongo imeingiliwa,sio wapemba tu waliojaza k'koo,wachaga nao wanaongoza kuijaza kwa viduka vyao vya sidiria na chupi za kichina, na kumbuka zamani jioni tulikuwa tukicheza mpira pale mlangoni sokono k'koo, sikuhizi nikipita na wanangu nikiwaambia wana bisha eti haiwezekani,kila mtu arudi kwao mtuachie Bongo yetu!!

mkuu huyo dogo hajui historia ya Dar.....dooh unakumbuka ile miaka ya 1988-91 vijana wa Dar tulipokuwa tunawakazia wamachinga na wageni wengine kutoka mikoani warudi kwao wakalime viazi, walishukuru jeshi na polisi waliowasaidia kama si wao tungewarudisha mikoani wote:majani7:
 
Ami, Mandi,

..mkataa kwao MTUMWAA.

..wa-ZNZ mnasema hamtaki muungano, lakini mkiambiwa mrudi kwenu mnadai hizo ni fitina.

..hakuna anayetaka kuleta shari hapa. wa-ZNZ bila kulazimishwa na mtu yeyote yule mnadai kuvunjwa kwa Tanzania, na kurejeshwa kwa Tanganyika na Zanzibar.

..katika mazingira hayo uraia wa Tanzania utakoma, na mchakato kuhusu uraia wa Tanganyika, pamoja na uraia wa Zanzibar, utaanza.

..kwa msingi huo wa-ZNZ mlioko Tanganyika itabidi mrudi kwenu Zanzibar, na wa-Tanganyika walioko ZNZ itabidi nao warudi nyumbani.

..narudia, mkataa kwao MTUMWA.

mkuu mbona umewasahau warundi,wanyarwanda,wakenya,wachina, hawa vipi wao? wale ndugu zetu wa kitanganyika ambao baba zao ni wapemba itakuwaje?:target:
 
mkuu mbona umewasahau warundi,wanyarwanda,wakenya,wachina, hawa vipi wao? wale ndugu zetu wa kitanganyika ambao baba zao ni wapemba itakuwaje?:target:
Fatal5,

..kama Wakenya, Warundi, etc, wako nchini kinyume na sheria, basi ni lazima washughulikiwe.

..kwa mila za Kitanganyika watoto hao ni Wapemba, hivyo waende wakaishi Pemba walikotokea baba zao.

..South Africa walipopata uhuru waliondoka na watoto wao waliowazaa wakiwa ukimbizini.
 
Last edited by a moderator:
Takribani raia wakaribiao 500,000 toka znzbr wamefanya makazi yao huku wetu bara toka nchii hizi ziungane mwaka 1964,wengi wao wakikimbia mateso ya mwaka 1964-7,wengi wao wakitokea pemba ambako huko walikimbia mateso ya serikali ya kipindi hicho waliyokuwa wanasema inawanyanyasa,kuwepo kwa muungano ilikuwa kama ni kichocheo au rutuba kwao kwani walikimbilia huku na kukufanya kama vile ni kwao baadaye pia miaka ya 70 baada ya kifo cha karume walikimbia tena wapemba wengi sana kuja bara kukimbia mateso nao wakazaliana huku na kukufanya kama vile kwao.

waznzbr wengi waliokimbilia bara walipata nafasi ya kusoma na kujiendeleza kielimu kwani tofauti na bara znzbr Karume alikataza waznzbr kusoma na mwisho ilikuwa form 4 tu baada ya hapo unakwenda kufundisha wenzako hivyo wale wote waliobaki znzbr walikosa fursa ya kujiendeleza kusoma mpaka karume alipokufa.

Sasa miaka imepita na waznzbr wanadai wanataka kuvunja muungano kwa werevu kama mimi tunasema kuna wabara wachache sana hawafiki hata 50,000 wanaoishi znzbr,kweli ni muungano tu ndo uliowawezesha wabara hao kujenga znzb na ni muungano huo huo uliowawezesha wa zenji na wapemba kujenga huku bara,kwa hiyo hilo ni tunda la muungano,sisi tunasema hivi muungano ukifa wazanzibar waliojenga na wanaoishi na kununua mali bara warudi kwao,na wabara waliojenga na kuishi zenji warudi kwetu bara kutakuwa na mali nyingi za kuwa compensate tu.

Kama mimi ningekuwa mznzbr leo na nimejenga bara kitu cha kwanza ningeanza kuuza nyumba yangu mapema kutafuta ustaarabu CHAKECHAKE kwetu.Na wale watakaotaka kuendelea kuwekeza bara basi walipe kodi kama mwekezaji mgeni yeyote wa EAC atakavyolipa na wakija waje na passport kama mtu toka kenya navyoingia nchini.

Umeme tutakuwa tunawauzia kama vile tunavyoziuzia nchi zozote zile kwa bei ileile ya kimataifa na siyo hii ya upendeleo ya sasa.Hatutaki muungano wowote zaidi ya uliopo sasa,hatutaki muungano wa mkataba wala wa serikali 3,nje ya muungano wa serilkali 2 ni bora huo muungano uvunjike tu.

Sisi watu wa bara hatuna tunachokipata na muungano huu zaidi ya matusi toka kwa wapemba wasio na shukrani ambao karume alitaka kuwaangamiza kama isingelikuwa busara za Mlm.NYERERE.Sasa wapemba anzeni kuuza mashamba yenu mujiandae kurudi chakechake.

Juzi nilikuwa nipo safarini nakwenda zangu Dodoma kwa bahati nilikaa karibu na mznzbr mmoja aliyekuwa anakwenda Kibaigwa kununua mashamba ya kulima,kwa kweli hapo kuna wapemba wengi sana na ni matajiri sana sababu ya kununua mashamba ya hekari kubwa sana,nikamwambia kwanini asiende kununua mashamba Chake Chake au Stone Town kwenu badala yake unawekeza bara jibu aliloniambia ni kwamba huko znzbr kumejaa nafasi ya kila mtu kupata shamba la kulimia haiko kama huku. Hilo ni tatizo tu la ardhi linaloikabili znzbr kwa sasa wakati hao waznzbr takriban laki 5 hatujawarudisha kwao,mimi sitaki kuwatisha ila naelezea consequence za tendo la secession ya znzbr.

WAZANZIBAR,WAPEMBA TUNAWAOMBA MRUDI KWENU JAMANI NA SISI TUNAHITAJI MAENEO YA KUJENGA NA KULIMA TAZAMENI K'KOO YOOTE NA TANDIKA MMEITEKA NA KUITWAA NYIE SASA WAKWERE NA WAMAKONDE WAKAJENGE NA KUFANYA BIASHARA WAPI????TUMEWACHOKA!!!!ONDOKEN I!!! NA SISI TUNAMATUMIZI PIA JAMANI EHEEEEE!!!
jibu ni rahisi tu wakauze punye
 
Fatal5,

..kama Wakenya, Warundi, etc, wako nchini kinyume na sheria, basi ni lazima washughulikiwe.

..kwa mila za Kitanganyika watoto hao ni Wapemba, hivyo waende wakaishi Pemba walikotokea baba zao.

..South Africa walipopata uhuru waliondoka na watoto wao waliowazaa wakiwa ukimbizini.
Huna lolote.Unatapatapa kutafuta majawabu.Hukutaraji kwamba utabanwa kiasi hiki.
Mila za kitanganyika umezitoa wapi.Ikiwa ndizo za kikwenu sisi waislamu hazituhusu.
 
mpaka wa bahari ya hindi kati ya znzbr na tz unajulikana tangu zamani na hadi leo bado upo,wa malawi ni tofauti ulikuwa unamatatizo tangu zamani.

Huu mpaka umetulizwa kwa sababu ya muungano huu wa tanganyika na zanzibar, ukivunjika tuu muungano utasikia mengine hapa, muungano umeficha mengi
 
Tatizo lenu watanganyika hamjatembea au munasema maneno kiutashi tuu, hebu fanyeni tasmini waznz ukiachia hapa tanganyika wako nchi gani nyengine? Je wanaishi kivipi, nyinyi mumeanza kutembea miaka ya 90 ndio tatizo hili la kuongea pumba.
 
Wachaga wamechanganyika hadi na wamakonde mi sina haja nao hao ni watz bara tunaotaka warudi kwao ni wa znzbr na wenyewe wanajibagua toka zamani wanatuita sisi watanganyika hadi leo na wanasababisha machafuko hivyo ni bora waende.

Kumbe wewe hata hiyo dalisalama huijui nimekupata tatattttttattattaa
 
Tatizo lenu watanganyika hamjatembea au munasema maneno kiutashi tuu, hebu fanyeni tasmini waznz ukiachia hapa tanganyika wako nchi gani nyengine? Je wanaishi kivipi, nyinyi mumeanza kutembea miaka ya 90 ndio tatizo hili la kuongea pumba.

Wako Oman wanafanyakazi za ndani ni omba omba huko mana hawana mitaji.
 
Huu mpaka umetulizwa kwa sababu ya muungano huu wa tanganyika na zanzibar, ukivunjika tuu muungano utasikia mengine hapa, muungano umeficha mengi

Kivipi zanzibar ilipopata uhuhuru si ilikuwa nchi na mipaka yake inajulikana sasa hayo yaliyfichwa yapi hayo???
 
Mi sina haja ya kujadiliana na mznzbr hasa mpemba kama wewe,nilidhani una akili zako timam kumbe hamna kitu!! shushushu gani wa serikali aje achoche muungano uvunjike??wakati yeye mwenyewe ni mtumishi tu!! hapa unaoongea na MZAWA mwenyewe hasilia wa bara,kuhusu hao watu kuwa wazee mbona kuna wakimbizi wa Burundi genocide ya mwaka 1972 walirudishwa kwao miaka hii ya juzi tu ingawaje walikuwa wazee??kwenu ni kwenu tu rudi nyumbani bwana.
Inawezekana wazee wengine wakaamua kurudi na watoto nao wakipenda wakawafuata.Kama mimi ambaye hata huko Pemba sijawahi kufika pamoja na kuwa babu yangu ni mpemba sina haja ya kwenda huko sina rafiki yeyote.We Grand master Dulla utanijuaje,na utakaponijua kuwa babu yangu katoka Zanzibar una ubavu wa kunirudisha Pemba kwa nguvu.Itakuwa ni wewe au ni mimi.Siwezi kuondoka nikakuachia mali za baba na babu yetu.
 
Huna lolote.Unatapatapa kutafuta majawabu.Hukutaraji kwamba utabanwa kiasi hiki.
Mila za kitanganyika umezitoa wapi.Ikiwa ndizo za kikwenu sisi waislamu hazituhusu.
Ami,

..inaelekea hujui MILA wala SHERIA.

..sasa mnataka mrudi kwenu Pemba na kutuachia watoto na wake zenu?!!

..mila zinaelekeza kwamba mke na watoto watafuate kule baba anapokwenda.

..sheria zinaelekeza kwamba mtoto atakuwa na uraia wa wazazi wake mpaka pale atakapotimiza umri unaomruhusu kuchagua uraia, ama wa Zanzibar, au Pemba.

..kuhusu mali alizochuma Babu na Baba yako wa Kipemba huku Tanganyika, solution ni kuziuza na kurudi kwenu ukalie kivulini. Kama hilo huwezi basi shika adabu na ishi kwa heshima na Watanganyika. Waingereza wamsemo: "do not bite the hand that feeds you."

..mkataa kwao MTUMWA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom