Kila mtu ana kwao, Kila mtu afe na kwao, Bongo au zenji chagua moja

Nilifumbwa macho mimi au wewe ambaye kwenu pemba hakuna hata internet umekuja kuijulia hapa kwetu?Halafu kwani ulaya kitu gani mi nipo bongo hii hii wala sipo ulaya ondoa hilo wazo kwanza pili ulaya kwangu mimi si kitu huwa nakwenda navyotaka mimi sijui wewe mbaka uuze pweza mwenzangu?? usikasirike dawa ya tatizo ni kulitibu kama unaona nyumbani zenji hakuvutii inabidi uende ukakutengeneze mpaka kuvutie inabidi murudi pemba mkajaze udongo pwani maana nasikia siku hizi bahari inajaa inachukua ardhi baada ya miaka 10 nusu ya pemba na unguja itakuwa ishamezwa na maji!!!muwahi sasa jamani mkajaze mchanga mkafanye ile kitu inaitwa Land Reclaimation mapema

UJUMBE UMEFIKA DUH ! (MESSAGE SENT )

Mkuu umekuja na kihere here baada ya kumiliki kisimu mchina halafu unakataa hujafumbua macho karibuni ! Join Date : 21st June 2012.
inaonekana ukipata ki tv kidogo watakoma wapangaji wenzio.

halafu unaongopa ulaya unakwenda unavyotaka siku ukipanda ndege si utaharisha wewe ! sasa tushike wapi mara pweza mara magorofa kariakoo mara tandika nipo na 100% kichwa chako ni style ya kichogo ndo mana unakuwa na mawazo mgando wewe hata ukipewa gorofa zima kariakoo utaishia kuuza ugoro.

Join Date : 21st June 2012. karibu sana JF.
tunajua hujakaribishwa :shut-mouth:
 
Kichogo Shangazi yako,hiyo joining date wala isikutishe unajuaje kama nilikuwa na A/c nyingine leta hoja mpemba wewe safari ya chake chake inanukia ukavue Pweza huko.
 
Kichogo Shangazi yako,hiyo joining date wala isikutishe unajuaje kama nilikuwa na A/c nyingine leta hoja mpemba wewe safari ya chake chake inanukia ukavue Pweza huko.

mkuu matusi hayooo imehusu nini mambo ya shangazii . huna lolote kaka kumbe huyawezi wewe itakuwa mluga luga sio mgeni JF tu hata hapa mjini . hahahaha karibu kaka jamiiforums ila upunguze kihere here mluga luga .
 
Mimi na wewe nani mgeni mjini we si umezaliwa kwenu chake chake dar umeamia tu sasa nani wakuja kati ya mimi na wewe??
 
mi sina haja ya kujadiliana na mznzbr hasa mpemba kama wewe,nilidhani una akili zako timam kumbe hamna kitu!! Shushushu gani wa serikali aje achoche muungano uvunjike??wakati yeye mwenyewe ni mtumishi tu!! Hapa unaoongea na mzawa mwenyewe hasilia wa bara,kuhusu hao watu kuwa wazee mbona kuna wakimbizi wa burundi genocide ya mwaka 1972 walirudishwa kwao miaka hii ya juzi tu ingawaje walikuwa wazee??kwenu ni kwenu tu rudi nyumbani bwana.

ccm wameanza kuwa choma mikuki huko haya chadema furahini na wafukuzeni WACHAGA dalisalama waende kwao Arusha
 
ccm wameanza kuwa choma mikuki huko haya chadema furahini na wafukuzeni WACHAGA dalisalama waende kwao Arusha

Wachaga wamechanganyika hadi na wamakonde mi sina haja nao hao ni watz bara tunaotaka warudi kwao ni wa znzbr na wenyewe wanajibagua toka zamani wanatuita sisi watanganyika hadi leo na wanasababisha machafuko hivyo ni bora waende.
 
Sasa Ammi yangu naona unaujasiri sana napenda wtu kama wewe ila ni kwamba inabidi uwahi kuuza nyumba hizo sasa uchukue chako mapema usepe wakati nyumba bado bei ghali ukisubiri mwishoni utalaliwa sana mana mtakuwa wengi mnalazimishwa kuuza kwa wakati mmoja hivyo unaweza kula hasara ukilinganisha na thamani halisi!! Nasikia pemba ishaanza kumezwa na maji kidogo kidogo wanasema baada ya miaka 35 itakuwa nusu yake ishamezwa yote???

Magari kama unayo ni rukhsa kurudi nayo nyumbani bila kipingamizi chochote kile iwe semi,pulling au fuso hayo ni rukhsa kurudi nayo nyumbani Ammi mlituanza wenyewe Ammi sisi hatuna makosa wala msituchukie.

Ammi nashukuru kwa ushauri wako mzur nami ninajipanga kufanya hvyo but bora pemba iliwe na imegwe kidogo2 na maji kuliko kuliwa na muungano.ammmi.kwakweli hatuwebu huu muungano.tuwacheni tupumuwe
 
mimi ni mzanzibar niliye na asili ya pemba na muda huu niko mwanza ninamiliki ni mfanya biashara.namshukuru allah ninamiliki magar na majumba yakutosha na maisha yangu yapo fresh na wabara ndo ninaowatuma.

Kwakweli ninawajali ndugu zangu wabara wote kama ni mkiristo ama muislamu lakin licha ya mali nilizonazo mimi nipo tayar muungano uvunjike na hapo ndo nitakwenda home koz zanzibar kwanza. Kkama mtafukuza fukuza kama utapiga piga but soveregn zanzibar.

kumbe allah naye anawasaidia. Sasa mbona hawasaidii kwenye elimu wengi wenu ni mbumbu?
 
Wewe umesahau kua mkataa kwao ni mtumwa?wapemba wako tayar any time kurudi kwao koz wamezowea kutuma na sio kutumwa.

Grand master kaongea point kweli inabidi tu mukae kwenu pemba mkatumane wenyewe kwa wenyewe sa si jui itakuwaje?

sa ikimezwa na maji sijui watalima wapi na watu laki 5 toka bara nao sijui wataishi wapi duh???
 
kumbe allah naye anawasaidia. Sasa mbona hawasaidii kwenye elimu wengi wenu ni mbumbu?

aliyesababisha hayo ni baba yako mzazi nyerere waislamu kihistoria ndo wakwanza kusoma afrika masharki ndo wao waliochukuliwa kupelekwa bara nh watu wa pwani koz wabara kama kawaida forward never,backward forever.than muengereza policy ya kuwagawa na kuwatenga waislam kielimu ndo hyo nyerere ndo aliyoitumia kwa zanzibar.kwa ufupi kama wapemba ni mbumbu hebu piga tathmini wasomi zaid tanzania ni nani na wako wapi zaid?na wafanya biashara wakubwa ni nani tanzania? wacha mambo yako yasiyo eleweka.say no union.zanzibar kwanza
 
hapo ndipo mnapochemkaga wapemba mnasema mmesoma mmesosoma kitu gani sio nyie karume alipiga marufuku znzbr hakuna mtu kusoma na ukisoma mwisho form 4 unaenda fundisha wenzako na kwa wapemba walikatazwa kabisa kusoma mpaka alipokuja maalim sefu ndio akawapa skolaship ni wapemba waliokimbilia bara tu mwaka 1965 ndio waloweza kusoma bara kwa ukarimu wa nyerere leo unamlaani ndio maana wanasema bora ukamfadhili ng'ombe kuliko mpemba hawana shukrani kabisa.hawakumbuki nyerere alivyowaokoa akamkataza karume asiwaangamize?kuhusu biashara baba zenu walipokuja huku walikimbilia kuuza magenge sabab elimu walikuwa hawana na kazi enzi hizo zilikuwa kibao tu! wabara sabab walisoma waliajiriwa sasa mpemba hawezi kuajiriwa kwani cheti alichonacho ni kuvua pweza tu.
bora mrudi kwenu tu aisee hatawataki.
 
hiyo historia amekufundisha nani mtu wangu.mukiambiwa musome munasema c tumeshasoma wakati umeishia darasa la saba.wacha nikusomeshe mtu wangu but cjaendelea hebu nijbu maswala haya.a.zanzibar imeshawahi kutawalia kabla ya 1964 jee huyo mtawala alikua ni nani na yupo chni yamuangaliz wa nani?b.nani aliyepnduliwa zanzbar 1964?c.ni mfumo kani waelimu uliokuwepo afrika masharki kabla yauhuru?.unapoweza kuyajbu hayo ndo nitaweza kukufahamisha usiyo yajua kama unataka uwelewa nakuomba unijbu hayo maswali mepes matatu
 
Wachaga wamechanganyika hadi na wamakonde mi sina haja nao hao ni watz bara tunaotaka warudi kwao ni wa znzbr na wenyewe wanajibagua toka zamani wanatuita sisi watanganyika hadi leo na wanasababisha machafuko hivyo ni bora waende.

Mdogo wangu!waja kujizalilisha nashangaa nibinadamu gani aliye na akili akakataa kuitwa jina lao la asili.kumbe wewe unachukia unapoitwa mtanganyika?kwanini wazanzibar walio na asili yakipemba wanaona faraja wanapoitwa wapemba.hebu pevuka kimaarfa mtu wangu.
 
Mind tukimaliza kuwarudisha kwao wapemba,tutataka na sisi wa Dsm tubaki peke yetu,je na wewe utabaki Dar au.....,utarudi bush kulala na Ng'ombe,Man'ake bongo imeingiliwa,sio wapemba tu waliojaza k'koo,wachaga nao wanaongoza kuijaza kwa viduka vyao vya sidiria na chupi za kichina, na kumbuka zamani jioni tulikuwa tukicheza mpira pale mlangoni sokono k'koo, sikuhizi nikipita na wanangu nikiwaambia wana bisha eti haiwezekani,kila mtu arudi kwao mtuachie Bongo yetu!!
 
hiyo historia amekufundisha nani mtu wangu.mukiambiwa musome munasema c tumeshasoma wakati umeishia darasa la saba.wacha nikusomeshe mtu wangu but cjaendelea hebu nijbu maswala haya.a.zanzibar imeshawahi kutawalia kabla ya 1964 jee huyo mtawala alikua ni nani na yupo chni yamuangaliz wa nani?b.nani aliyepnduliwa zanzbar 1964?c.ni mfumo kani waelimu uliokuwepo afrika masharki kabla yauhuru?.unapoweza kuyajbu hayo ndo nitaweza kukufahamisha usiyo yajua kama unataka uwelewa nakuomba unijbu hayo maswali mepes matatu

hivi wewe umeelewa kweli yaani unauliza swali juu ya swali??
a-jamshid under british protection, b-sultani na serikali yake chini ya wazir mkuu shamte zppp na barwani,znp
c-anglo centric system of education in kenya,uganda and tanganyika, but coastal p'ple also are literate in arabic education due to religious purposes.
kifupi hakuna nisichokijua wala utakachonifundisha kuhusu znzbr sema mi ndo naweza kukufundisha wewe ingawaje wenu huko!!!
 
aliyesababisha hayo ni baba yako mzazi nyerere waislamu kihistoria ndo wakwanza kusoma afrika masharki ndo wao waliochukuliwa kupelekwa bara nh watu wa pwani koz wabara kama kawaida forward never,backward forever.than muengereza policy ya kuwagawa na kuwatenga waislam kielimu ndo hyo nyerere ndo aliyoitumia kwa zanzibar.kwa ufupi kama wapemba ni mbumbu hebu piga tathmini wasomi zaid tanzania ni nani na wako wapi zaid?na wafanya biashara wakubwa ni nani tanzania? wacha mambo yako yasiyo eleweka.say no union.zanzibar kwanza
Sasa kama unamlaumu mwalimu,unasema Zanzibar kuna wasomi zaidi na wenye pesa zaidi,na pia unasema say no to the union,nini kinakukasirisha akitokea mtu akasema mrudi Zanzibar muungano ukivunjika?Ama mnataka kuitawala Tanganyika?
 
itawaanza wao waliotubagua sisi na kuanza kuvunja muungano.Halafu hiyo sio kanuni ya nyerere hiyo ni principle of nature nyerere kwa werevu wake tu aliitambua,ukimbagua ndugu yako mwishoni mtajibagua wenyewe na kwa hapa wabaguzi ni wa zenji sio sisi.
Mkuu,
Sijasema ni kanuni ya Mwalimu JK Nyerere....nimemnukuu tu
 
Sasa kama unamlaumu mwalimu,unasema Zanzibar kuna wasomi zaidi na wenye pesa zaidi,na pia unasema say no to the union,nini kinakukasirisha akitokea mtu akasema mrudi Zanzibar muungano ukivunjika?Ama mnataka kuitawala Tanganyika?[/QUOTE

Mkuu hivi muungano ukivunjika kwa nchi zilizoungana inakuwa hivi ? kuna nchi nyingi ziliungana na muungano ukakoma na kuvunjika na hatujasikia hizi ndoto za disappointed and desperate people kimaisha kuachiwa majumba na vitu kadhaa. ama ukivunjika itakua vita ? kama ni vita mmh naubakie ! lakini kama process maalum kwa walioungana na uvunjike. kwanini inakua nongwa watu wakisema na uvunjike ?
 
Back
Top Bottom