Kila mtu ana kwao, Kila mtu afe na kwao, Bongo au zenji chagua moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtu ana kwao, Kila mtu afe na kwao, Bongo au zenji chagua moja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Grand Master Dulla, Oct 26, 2012.

 1. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Takribani raia wakaribiao 500,000 toka znzbr wamefanya makazi yao huku wetu bara toka nchii hizi ziungane mwaka 1964,wengi wao wakikimbia mateso ya mwaka 1964-7,wengi wao wakitokea pemba ambako huko walikimbia mateso ya serikali ya kipindi hicho waliyokuwa wanasema inawanyanyasa,kuwepo kwa muungano ilikuwa kama ni kichocheo au rutuba kwao kwani walikimbilia huku na kukufanya kama vile ni kwao baadaye pia miaka ya 70 baada ya kifo cha karume walikimbia tena wapemba wengi sana kuja bara kukimbia mateso nao wakazaliana huku na kukufanya kama vile kwao.

  waznzbr wengi waliokimbilia bara walipata nafasi ya kusoma na kujiendeleza kielimu kwani tofauti na bara znzbr Karume alikataza waznzbr kusoma na mwisho ilikuwa form 4 tu baada ya hapo unakwenda kufundisha wenzako hivyo wale wote waliobaki znzbr walikosa fursa ya kujiendeleza kusoma mpaka karume alipokufa.

  Sasa miaka imepita na waznzbr wanadai wanataka kuvunja muungano kwa werevu kama mimi tunasema kuna wabara wachache sana hawafiki hata 50,000 wanaoishi znzbr,kweli ni muungano tu ndo uliowawezesha wabara hao kujenga znzb na ni muungano huo huo uliowawezesha wa zenji na wapemba kujenga huku bara,kwa hiyo hilo ni tunda la muungano,sisi tunasema hivi muungano ukifa wazanzibar waliojenga na wanaoishi na kununua mali bara warudi kwao,na wabara waliojenga na kuishi zenji warudi kwetu bara kutakuwa na mali nyingi za kuwa compensate tu.

  Kama mimi ningekuwa mznzbr leo na nimejenga bara kitu cha kwanza ningeanza kuuza nyumba yangu mapema kutafuta ustaarabu CHAKECHAKE kwetu.Na wale watakaotaka kuendelea kuwekeza bara basi walipe kodi kama mwekezaji mgeni yeyote wa EAC atakavyolipa na wakija waje na passport kama mtu toka kenya navyoingia nchini.

  Umeme tutakuwa tunawauzia kama vile tunavyoziuzia nchi zozote zile kwa bei ileile ya kimataifa na siyo hii ya upendeleo ya sasa.Hatutaki muungano wowote zaidi ya uliopo sasa,hatutaki muungano wa mkataba wala wa serikali 3,nje ya muungano wa serilkali 2 ni bora huo muungano uvunjike tu.

  Sisi watu wa bara hatuna tunachokipata na muungano huu zaidi ya matusi toka kwa wapemba wasio na shukrani ambao karume alitaka kuwaangamiza kama isingelikuwa busara za Mlm.NYERERE.Sasa wapemba anzeni kuuza mashamba yenu mujiandae kurudi chakechake.

  Juzi nilikuwa nipo safarini nakwenda zangu Dodoma kwa bahati nilikaa karibu na mznzbr mmoja aliyekuwa anakwenda Kibaigwa kununua mashamba ya kulima,kwa kweli hapo kuna wapemba wengi sana na ni matajiri sana sababu ya kununua mashamba ya hekari kubwa sana,nikamwambia kwanini asiende kununua mashamba Chake Chake au Stone Town kwenu badala yake unawekeza bara jibu aliloniambia ni kwamba huko znzbr kumejaa nafasi ya kila mtu kupata shamba la kulimia haiko kama huku. Hilo ni tatizo tu la ardhi linaloikabili znzbr kwa sasa wakati hao waznzbr takriban laki 5 hatujawarudisha kwao,mimi sitaki kuwatisha ila naelezea consequence za tendo la secession ya znzbr.

  WAZANZIBAR,WAPEMBA TUNAWAOMBA MRUDI KWENU JAMANI NA SISI TUNAHITAJI MAENEO YA KUJENGA NA KULIMA TAZAMENI K'KOO YOOTE NA TANDIKA MMEITEKA NA KUITWAA NYIE SASA WAKWERE NA WAMAKONDE WAKAJENGE NA KUFANYA BIASHARA WAPI????TUMEWACHOKA!!!!ONDOKEN I!!! NA SISI TUNAMATUMIZI PIA JAMANI EHEEEEE!!!
   
 2. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hatoki mtu yakheeeee
   
 3. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huu ndio ubaguzi aliokuwa haupendi mwalimu nyerere. Hata wewe nikianza kukukagua vizuri nitagundua wewe ni mnyarwanda!.
   
 4. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Basi anza kulegeza mkanda wa suruali lako au msuli kisha bong'oa pinda 7 nije nikupande kabisa mana muungano ukivunjika lazima nikupande huwezi kukaa kwetu na kula vyetu vya bure.
   
 5. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  soma vizuri kaka mimi sipingi muungano napenda uendelee ila kama wazanzibar wanaandamana visiwa vyote hawataki muungano utawalazimisha??huwezi ukamwongoza mtu asiyeongozeka.hivyo wakiuvunja wao muungano ndio vitu hivyo juu vitakavyotokea bro.
   
 6. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nyiye wa dot.com. Fanyeni uchambuzi kadhia mpaka wa ziwa nyasa. Fikiria sasa mpaka bahari ya hindi. Kuwabembeleza na kuwaheshimu wadau ndugu zetu ni lazima
   
 7. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mpaka wa bahari ya hindi kati ya znzbr na tz unajulikana tangu zamani na hadi leo bado upo,wa malawi ni tofauti ulikuwa unamatatizo tangu zamani.
   
 8. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mawazo kama ya mleta mada hayatushangazi sana Waziri wa Elimu wenyewe ni Philip Mulugo unadhani matunda yanayotoka katika wizara yake watakuwaje
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,757
  Likes Received: 4,976
  Trophy Points: 280
  ..at some point itabidi watu wachague uraia wa Tanganyika, au Zanzibar.

  ..muungano huu utavunjika, hivyo wa-Tanganyika mlioko Zanzibar, na wa-Zanzibar mlioko Tanganyika, mjiandae kushughulikia masuala yenu ya uraia na ukaazi.
   
 10. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahahaha'
   
 11. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  ni mbara gani atakae kubal kuchagua pemba au unguja, ikiwa baada ya muungano kuvunjika pemba na ungaja watatengana?
   
 12. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "consequencies"
  muungano unatusahaulisha sisi wa tanganyika kuuona mpaka huo. Jee tunao ubavu wa kulinda mpaka huo. Tunaweza kuhimili vitimbwi vya jirani aliyekuwa ndugu yetu.
   
 13. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayetaka muungano uvunjike na hasa kwa watu wa bara lakini wenzetu wa upande wa pili wamekuwa wakitoa malalmiko mengi kuashiria kuwa hawana haja na muungano mara tunanyonywa,tunataka muungano wa mkataba au serikali tatu lakini wanasahau ni huu muungano ndio umewafanya waitwe watanzania na waweze kuishi bila bugudha huku bara.

  Waseme ni lini wameharibiwa biashara zao,kuchomewa nyumba au misikiti lakini wao kwa upande wa pili wamekuwa wakichoma baa na kupora na pia kuchoma makanisa lakini unapowaambia ukweli hawataki kuukubali mtoa hoja amesema wazi kama hakuna muungano kila mmoja kwao wakitaka kuja huku au kufanya shuguri zao huku ruksa lakini waje kama wageni wengine wowote na kufata taratibu za nchi kama pasiport,vibali vya kazi au biashara na wanapotaka kusoma vyuo vya huku walipe ada inayostahili tena kwa pesa za kigeni.

  Warudishe ardhi wanayotumia kwani mgeni haruhusiwi kupewa ardhi ila kwa uwekezaji nakufata taratibu kamili pia walipie umeme wetu kwa bei ya kibiashara.
   
 14. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mi nilidhani utafurahia kurudi kwenu chakechake kumbe inaonekana bara bado utamu upo!!!!kuhusu uraia inajulikana kabisa wapemba kwao pemba wabara kwao bara kama mlivyokuja ndivyo mtakavyo ondoka kama wakimbizi wa burundi na rwanda tu.kwenu kunajulikana.
   
 15. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani wa zenji kwanini msianze kutuuzia nyumba zenu kabisa maana kwa chokochoko za farida inaonyesha kabisa 2015 muungano haufiki.Mkisubiri mbaka mwaka huo ukafika mnaweza msiziuze mana tutazipora au mtazikimbia kwa kichapo tutakachowapa kama vile karume alivyowachapa mkakimbia znzbr.
   
 16. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tanganyika ni nchi ya watanganyika na zanzibar ni nchi ya wazanzibar sasa jamani wazanzibar mnafanya nini huku kwetu bara?
   
 17. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko ulaya au Marekani unachezea keys za computer huku ukinywa CARLSBERG ????
   
 18. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35


  sijakuelewa lakini?
   
 19. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani ulipoandika thread ulikuwa fit???

  hivi watu walipoungana walifukuzana na iweje hii leo kuuvunja muungano wafukuzwe ???
   
 20. c

  cencer09 JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,328
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  je wazanzibar wanaoandamana kila siku kupinga muungano wako sawa/na sisi tumewachoka mwende kwenu
   
Loading...