IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,913
- 5,213
Wikiendi hii kila mtanzania alikuwa anafuatilia mkutano mkuu wa Chama cha mapinduzi. Watanzania bila kujali itikadi zao walikuwa wanatoa mawazo yao, imefikia mahali mpaka wanaukawa wanaumia na yaliyotokea dodoma na kulalamika kuwa Rais Magufuli anaua Chama.
Sasa mimi nikawa najiuliza mbona wapinzani wanaumia wakati wanadai ccm inaenda mlama nikakumbuka kuwa hawa wapinzani ni watanzania na kila mtanzania ni mwana ccm ni suala la Muda tu.
Sasa mimi nikawa najiuliza mbona wapinzani wanaumia wakati wanadai ccm inaenda mlama nikakumbuka kuwa hawa wapinzani ni watanzania na kila mtanzania ni mwana ccm ni suala la Muda tu.