Kila Mtanzania anadaiwa 1,000,000/=

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kila mtanzania anadaiwa milion 1 ata ukiwa na watoto wachanga walio zaliwa leo kila mmoja anadaiwa milion 1 kinachoumiza zaidi mwaka 2015 kila mtanzania alikuwa anadaiwa laki 6 lakini ndani ya miaka 4 sasa ivi tunadaiwa mil 1 kwa mujibu wa report ya IMF maana yake kwa mwaka kila mtanzania anakopewa laki 1 kibaya zaidi 57% ya mali za afrika ndio madeni tunayodaiwa kama bara. deni la taifa trion 60 na watu mil 60.
 
Kwani waingereza wanasubiri usafiri kwa masaa manne kufika makazini kwao?

Wanahaki yakudaiwa parefu
Kila mwananchi wa Uingereza anadaiwa milioni 106,920,000 za Kitanzania. Kwa pesa za Kiingereza ni £ 36,407.

Ukijumlisha liabilities zote na public sector pension utapata £78,000 kwa kila Mwingereza ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania 232,284,000
 
Unatuletea mambo ya kwa bibi kizee Eliza tena!

Ova
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kila mwananchi wa Uingereza anadaiwa milioni 106,920,000 za Kitanzania. Kwa pesa za Kiingereza ni £ 36,407.

Ukijumlisha liabilities zote na public sector pension utapata £78,000 kwa kila Mwingereza ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania 232,284,000

Unachekesha walionuna, unaweza kufananisha uingereza nchi inayotengeneza mpaka ndege za kivita, na nchi ambayo ikipokea ndege viongozi wote wa serekali na vyombo vya dola wanakusanyika kwenda kuiangalia?
 
Kila mwananchi wa Uingereza anadaiwa milioni 106,920,000 za Kitanzania. Kwa pesa za Kiingereza ni £ 36,407.

Ukijumlisha liabilities zote na public sector pension utapata £78,000 kwa kila Mwingereza ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania 232,284,000

Mtoa mada anaiongelea Tanzania kwa mujibu wa taarifa za IMF, wewe unakuja na porojo za Uingereza. Mbona mifano ni irrelevant kabisa! Ungekuwa ndiyo umejibu mtihani, basi mwalimu angekuandikia O.P!
 
Kwa maana hiyo mpaka 2025 tutakuwa tunadaiwa milioni 2 kila mtz..kaazi kweli kweli
 
We kibaka mbona Mbowe anakata mishahara ya wabunge zaidi ya 2,000,000.00 kwa kigezo cha mikopo aliyokopesha chama kipindi cha uchaguzi?
Kila mtanzania anadaiwa milion 1 ata ukiwa na watoto wachanga walio zaliwa leo kila mmoja anadaiwa milion 1 kinachoumiza zaidi mwaka 2015 kila mtanzania alikuwa anadaiwa laki 6 lakini ndani ya miaka 4 sasa ivi tunadaiwa mil 1 kwa mujibu wa report ya IMF maana yake kwa mwaka kila mtanzania anakopewa laki 1 kibaya zaidi 57% ya mali za afrika ndio madeni tunayodaiwa kama bara. deni la taifa trion 60 na watu mil 60.
 
Kila mtanzania anadaiwa milion 1 ata ukiwa na watoto wachanga walio zaliwa leo kila mmoja anadaiwa milion 1 kinachoumiza zaidi mwaka 2015 kila mtanzania alikuwa anadaiwa laki 6 lakini ndani ya miaka 4 sasa ivi tunadaiwa mil 1 kwa mujibu wa report ya IMF maana yake kwa mwaka kila mtanzania anakopewa laki 1 kibaya zaidi 57% ya mali za afrika ndio madeni tunayodaiwa kama bara. deni la taifa trion 60 na watu mil 60.
Tuwekee hiyo report ya IMF.
 
Back
Top Bottom