zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Now days ishakuwa kama mchezo sasa mtu anapiga zake kitabu akishajikombea vi degree vyake basi anaona ametosha kuwa mwanasiasa.
Sasa wasomi wetu wanapoikimbilia siasa wote nani ataijenga nchi kwasababu nchi inajengwa na wananchi.
Wakati wa upigaji kura za maoni tumeshuhudia vijana wengi wakitaka nafasi hizo. Wengine wanagombea hadi uraisi na wakati hata hawajulikani kWa wanachama wala wananchi hawashiriki katika masuala yoyote ya kijamii
Duh!