Kila msichana ninae mchunguza naona hafai kuolewa na mimi, mwaka wa 7 sasa sijapata mtu sahihi wa kuoa

Tatizo lako unataka kuingia kwenye ndoa alafu hujui nini maana ya ndoa.

Kwenye ndoa unamtafuta mtu utakaye weza kuvumilia mapungufu YAKE na vilevile atakaye weza kuvumulia mapungufu YAKO.

Kwani chini ya jua hamna mkamilifu,ila upendo ndio unao tufanya tuvumiliane mapungufu yetu kwenye ndoa.

Hata leo Mungu akikupa nafasi ya kumuumba mwenzi wako,bado utakosea sababu wewe mwenyewe huja kamilika.
Blaza kuvumilia mapungufu ya mkeo awe anapigwa nje? Akiwa anapigwa katika uchumba ujue atapigwa tu hata katika ndoa
 
Habari ndugu zanguni?
Mimi ni mwanaume wa miaka 37 sasa, Ni mwaka wa saba sasa tangia nianze kutafuta mwanamke wa kuoa sijampata, wanawake wazuri wenye tabia njema kwa macho wapo wengi sana ila nikisema sasa nianze kumchunguza tu nagundua mauzauza mengi na kuhailisha kwa kila nimpatae,
Nikimpata msichana ambae anaonekana kuwa na sifa njema za kuwa mke naanza kuchunguza kwa kina mwenendo wake, marafiki zake, simu yake naidukua...nasoma sms zake zote zinazoingia katika simu yake, nasikiliza simu zake zote, nasoma location kwenye ramani anakoenda kila siku kwa kupitia application yangu moja ya ujanja ujanja, hapo sasa ndo naanza kukutana na vitu vinavyoniua nguvu na kuhailisha kuoa.
Sasa mpaka nimechoka, kuoa ni jambo la lazima siwezi kuhailisha, je kosa langu ni kuchunguza au ? Je ni sahihi kumuoa mtu bila kumchunguza ?
Nakumbuka maneno ya babu aliniambia kosea vitu vyote usikosee kuoa " mke ndiye rafiki yako wa maisha, mlezi na mwalimu wa watoto wako, mtu wa kukuliwaza kila siku, ukikosea ukampata mtu ambae sio sahihi utakuwa umeharibu maisha yako na ya watoto wako kutokana na yeye, kuwa makini katika kufanya chaguo" . Hayo ndio maneno ya babu yangu, je niyapuuze ? Au nizingatie ?
Rafiki yangu Rama aliniambia chunguza juu juu tu usichunguze sana, mwanamke yoyote ukimchunguza sana hauwezi kumuoa, leo nimeamini maneno ya Rama, wingi wa wanawake wote hawa mimi nakosa mke wa kuoa mwaka wa saba sasa? Eti tatizo ni kuchunguza
Binafsi najua kuwa hamna binaadam anaekosa kasoro, nipo tayari kupokea kasoro za kibinaadam lakini sio usaliti, sio kushea, Nataka nioe mwanamke wa pekeyangu, niwe nakula mimi tu bila kushea na bwege yoyote.
Naombeni ushauri ndugu zangu, nitumie njia ipi iwe sahihi kumpata mtu sahihi aliye mwaminifu katika ndoa ? Maana naamini waaminifu wapo, tatizo ni kumpata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hairuhusiwi kuchunguza.
We oa tuu uliempenda oke,!
Alafu swala la msingi sana njoo pm nna shida na hiyo kidukulio na mie nimchunguze jamaa yangu hapa naona mauza uza sk hizi

Mkuu hiyo application inaitwaje
 
Nahisi wewe huna pesa, kazi, Elimu,U- handsome, hasa huna Nyota ya mng'aro kabisaa, imesha haribiwa na wachawi. unaishi wapi nikuangalie kinyota!!!
wanawake wa leo! ni wana, Magari, majumba, mahela, Elimu, wamejaa kwenye Mabenki, mahosp, huko wanaoa wao! lazima uoe kwa amri yao! hata kama huna Pesa wako tayari wagharimie wao! ili waishi na wewe.

Siku hizi wanatukamata wao! sisi ni wachaguliwa inategemea unaishi wapi Botswana ndo kabisaaaa! kama ulishawahi kuwaliza sana, mmoja wao kakupiga kipapai!

kaogee mfedha!! fedha!
 
Wewe ni mkoloni aisee, nampa pole huyo atakaekubali kuolewa na wewe
Habari ndugu zanguni?
Mimi ni mwanaume wa miaka 37 sasa, Ni mwaka wa saba sasa tangia nianze kutafuta mwanamke wa kuoa sijampata, wanawake wazuri wenye tabia njema kwa macho wapo wengi sana ila nikisema sasa nianze kumchunguza tu nagundua mauzauza mengi na kuhailisha kwa kila nimpatae,
Nikimpata msichana ambae anaonekana kuwa na sifa njema za kuwa mke naanza kuchunguza kwa kina mwenendo wake, marafiki zake, simu yake naidukua...nasoma sms zake zote zinazoingia katika simu yake, nasikiliza simu zake zote, nasoma location kwenye ramani anakoenda kila siku kwa kupitia application yangu moja ya ujanja ujanja, hapo sasa ndo naanza kukutana na vitu vinavyoniua nguvu na kuhailisha kuoa.
Sasa mpaka nimechoka, kuoa ni jambo la lazima siwezi kuhailisha, je kosa langu ni kuchunguza au ? Je ni sahihi kumuoa mtu bila kumchunguza ?
Nakumbuka maneno ya babu aliniambia kosea vitu vyote usikosee kuoa " mke ndiye rafiki yako wa maisha, mlezi na mwalimu wa watoto wako, mtu wa kukuliwaza kila siku, ukikosea ukampata mtu ambae sio sahihi utakuwa umeharibu maisha yako na ya watoto wako kutokana na yeye, kuwa makini katika kufanya chaguo" . Hayo ndio maneno ya babu yangu, je niyapuuze ? Au nizingatie ?
Rafiki yangu Rama aliniambia chunguza juu juu tu usichunguze sana, mwanamke yoyote ukimchunguza sana hauwezi kumuoa, leo nimeamini maneno ya Rama, wingi wa wanawake wote hawa mimi nakosa mke wa kuoa mwaka wa saba sasa? Eti tatizo ni kuchunguza
Binafsi najua kuwa hamna binaadam anaekosa kasoro, nipo tayari kupokea kasoro za kibinaadam lakini sio usaliti, sio kushea, Nataka nioe mwanamke wa pekeyangu, niwe nakula mimi tu bila kushea na bwege yoyote.
Naombeni ushauri ndugu zangu, nitumie njia ipi iwe sahihi kumpata mtu sahihi aliye mwaminifu katika ndoa ? Maana naamini waaminifu wapo, tatizo ni kumpata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu hakuna binamu zako ? Oa mmoja huenda huko kwenu tabia zenu zinafanana, kabla ya kuanza kumchunguza mwanamke anza kujichunguza wewe kwanza huenda kwako ndiko kwenye mapungufu makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ujawai kupendwa..wanawake tukipenda tunabadilika na kua kama Mr atakavyo. Ukisema sitaki uvae madela naacha mana naogopa kukupoteza au kukukera..hata Humanizer akipenda kweli anatulia wahuni wenzie watasema kapewa libwata.
 
Habari ndugu zanguni?
Mimi ni mwanaume wa miaka 37 sasa, Ni mwaka wa saba sasa tangia nianze kutafuta mwanamke wa kuoa sijampata, wanawake wazuri wenye tabia njema kwa macho wapo wengi sana ila nikisema sasa nianze kumchunguza tu nagundua mauzauza mengi na kuhailisha kwa kila nimpatae,
Nikimpata msichana ambae anaonekana kuwa na sifa njema za kuwa mke naanza kuchunguza kwa kina mwenendo wake, marafiki zake, simu yake naidukua...nasoma sms zake zote zinazoingia katika simu yake, nasikiliza simu zake zote, nasoma location kwenye ramani anakoenda kila siku kwa kupitia application yangu moja ya ujanja ujanja, hapo sasa ndo naanza kukutana na vitu vinavyoniua nguvu na kuhailisha kuoa.
Sasa mpaka nimechoka, kuoa ni jambo la lazima siwezi kuhailisha, je kosa langu ni kuchunguza au ? Je ni sahihi kumuoa mtu bila kumchunguza ?
Nakumbuka maneno ya babu aliniambia kosea vitu vyote usikosee kuoa " mke ndiye rafiki yako wa maisha, mlezi na mwalimu wa watoto wako, mtu wa kukuliwaza kila siku, ukikosea ukampata mtu ambae sio sahihi utakuwa umeharibu maisha yako na ya watoto wako kutokana na yeye, kuwa makini katika kufanya chaguo" . Hayo ndio maneno ya babu yangu, je niyapuuze ? Au nizingatie ?
Rafiki yangu Rama aliniambia chunguza juu juu tu usichunguze sana, mwanamke yoyote ukimchunguza sana hauwezi kumuoa, leo nimeamini maneno ya Rama, wingi wa wanawake wote hawa mimi nakosa mke wa kuoa mwaka wa saba sasa? Eti tatizo ni kuchunguza
Binafsi najua kuwa hamna binaadam anaekosa kasoro, nipo tayari kupokea kasoro za kibinaadam lakini sio usaliti, sio kushea, Nataka nioe mwanamke wa pekeyangu, niwe nakula mimi tu bila kushea na bwege yoyote.
Naombeni ushauri ndugu zangu, nitumie njia ipi iwe sahihi kumpata mtu sahihi aliye mwaminifu katika ndoa ? Maana naamini waaminifu wapo, tatizo ni kumpata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimchunguza sana bata, hutomla. Nenda katafute kijijini huko, uweke ksmbi kama ya miaka 2, akiwa darasa 5 mpaka la saba. Labda huyo watakuwa na mauzauza kabla ya ndoa, uyasubiri ya baada ya ndoa, hayakosekani. Kila la kheri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom