Kila mpenzi ananikimbia. Hivi nina tatizo gani?

ndemanya

Member
Jul 7, 2019
20
21
Dah! Sijui ninafeli wapi kila mwanamke ninayekuwa naye ananikimbia na kama ni mashine ninayo yakutosha na pia namhudumia kila kitu anachohitaji sijui nakwama wapi jamani

IMG_20191219_103532.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitafute huruma zetu mkuu maana hauwezekani ukimbiwe na wengi na usiijue kasoro yao. Kama sio labda huwa unapenda watu wasio wa level yako
 
Pole, ila jua kuna kitu kipo tofauti kwako ndiyo mana wanakukimbia, kichunguze vizuri. Yaweza kuwa unajiona uko kamili na unamtimizia kila kitu huyo mschn wako lakini kumbe kuna kitu kimoja tu ndiyo kinakukosesha mchumba. Unamjali, unamuheshimu?. Sio mashine tu na pesa ndiyo umemaliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom