Kwa wana JF wanaCCM tu!!!.
Baada ya kuona namna uongo na ujasiri wa Mh. katibu wa itikadi na uenezi (Nape) anavyotunga stori isiyo na manufaa kwa watz lakini kwa CCM ni mtaji mkubwa, nimeamua niwahimize wenzangu.
Tukitaka, 2015 CHADEMA wasiende Ikulu, Wakati CHADEMA wanahangaika na kuwaelimisha watz, kazi yetu iwe kutengeneza ishu siyo lazima ziwe za kweli, yaani uongo, mipasho, udaku, porojo au kuibua vijimambo kama Nape na majembe yetu kuhakikisha tunawashambulia viongozi wa CHADEMA kona zote na wananchi wengi watatusikiliza na kutuamini 2015.