Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.
1.Primary School education - buuureee
2. Secondary School form 1 to 6-ada nafuu ya 3000 hadi 60,000 nilipomaliza-1998
Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
3. Masters - sponsorship buuureeeee UDSM
4. Ajira
5, Ndugu zangu wamesoma na kupata mikopo buuuureee nao wanajitegema sasa
Kila mmoja aseme jamani, mnyonge mnyongeni.....................:evil::bange: teh msifiche