Kila mmoja jf aeleze kitu chanya CCM na serikali zake imemfanyia yeye au mzazi au kaka yake

golii

Member
Nov 13, 2012
48
1
Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.

1.Primary School education - buuureee
2. Secondary School form 1 to 6-ada nafuu ya 3000 hadi 60,000 nilipomaliza-1998
Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
3. Masters - sponsorship buuureeeee UDSM
4. Ajira

5, Ndugu zangu wamesoma na kupata mikopo buuuureee nao wanajitegema sasa

Kila mmoja aseme jamani, mnyonge mnyongeni.....................:evil::bange: teh msifiche
 
Mstaafu Baba yangu kasoma bure + kazi bure + nyumba bure + usafiri bure + matibabu bure.
 
Kuondoa kodi ya kichwa..kipande system kwa upande wangu naona ni nzuri..mengine naona bado wanajikongoja...
 
CCM imeushika uchumi wetu mateka(has held our economy hostage). Miundombinu inakatisha tamaa kiasi kwamba wawekezaji hawawezi kuja nchini kuwekeza. Mfano umeme

Hakutakuwa na viwanda vya kuleta ajira. Watu wenye elimu za juu nao hawapati kazi ukizingatia mashirika ya umma yamejaa watoto wa vigogo mfano BoT
 
wewe umesomea wapi, unatibiwa wapi, unapita barabara zipi ; kama cyo juhudi za ccm?
 
295344_204612719665548_664659686_n.jpg
 
Tanzania losing 10,000 elephants to poaching annually-Ministry
BY LUSEKELO PHILEMON
15th October 2012

Comments
Tanzania loses 30 elephants to poaching every day, a shocking 10,000 every year, the government says the situation cannot effectively reverse for lack of resources.
 
walimfilisi baba yangu 1984 kisa uhujumu uchumi.

wameua viwanda vyote.

mwenyekiti wa chama ni mwekezaji mbuga za wanyama.:madgrin::becky:
 
Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.

1.Primary School education - buuureee
2. Secondary School form 1 to 6-ada nafuu ya 3000 hadi 60,000 nilipomaliza-1998
Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
3. Masters - sponsorship buuureeeee UDSM
4. Ajira

5, Ndugu zangu wamesoma na kupata mikopo buuuureee nao wanajitegema sasa

Kila mmoja aseme jamani, mnyonge mnyongeni.....................:evil::bange: teh msifiche

#Yawezekana wewe ni kigogo! Sisi walala hoi ni noma
 
ccm imenifanya nielewe ukiwa fisadi una win maisha and nobody can touch you
 
watanzania tuishukuru sana serikali ya ccm kwa kutufikisha hapa

kidumu chama tawala ,zidumu fifkra sahihii za mwenyekiti
 
Positives za CCM kwangu na jimbo ninalotoka:
  1. Nimesoma bure-primary-university
  2. Nimesafiri kwa warrant za serikali bureeeeeeeeeeeeeee
  3. Nimepewa masurufu ya safari kwenda shule bureeeeeeeeeeee (usipime hapo)
  4. Madafutari primary na vitabu bureeeeeeeeeeeee
  5. Matibabu bureeeeeeeeeeee
  6. JKT nimekwenda bureeeeeeeeeeeeee bila tozo yoyote (acha mambo ya polisi kwa sasa kujiunga utoe hela)
  7. kazi nimepata bureeeeeeeeeeeeeeeeeee
JIMBONI KWANGU

  1. Barabara ya lami imejengwa
  2. shule za sekondari 2
  3. dispensary
  4. maji ya bomba
  5. wakulima mbolea za vocha
  6. mkoa kero zote zinashughulikiwa moja baada ya nyingine hasa daraja malagalasi ambalo lilikuwa kichomi na barabara za kuunganisha mkoa na mikoa mingine
 
Madaftari nikipewa bure hadi namaliza primary 1995,serikali ilikua inakuja kupuliza dawa vyooni kwa wananchi,dawa nilikua napata bure,na hata nikilazwa natibiwa bure,mitihan ilikua inavujishwa na watendaji wa serikali ya ccm,miaka ya nyuma hakukua na ajali nyingi coz magari yalikua machache(CCM ilidhibiti raia wasiwe nayo)
 
Back
Top Bottom