Kila mmoja jf aeleze kitu chanya CCM na serikali zake imemfanyia yeye au mzazi au kaka yake

Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.

1.Primary School education - buuureee
2. Secondary School form 1 to 6-ada nafuu ya 3000 hadi 60,000 nilipomaliza-1998
Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
3. Masters - sponsorship buuureeeee UDSM
4. Ajira

5, Ndugu zangu wamesoma na kupata mikopo buuuureee nao wanajitegema sasa

Kila mmoja aseme jamani, mnyonge mnyongeni.....................:evil::bange: teh msifiche

waliachia biashara ya pembe za ndofu babangu aliuza sana hadi umauti unamkuta,hilo nalo nahisi ni fadhila za CCM
 
aiseeeee babaangu ccm nimeweza kula pilau la bure,bibi mama na dada zangu wameweza kupata kanga za bure babu baba na kaka zangu 2mefanikiwa kupata kofia za bure
zidumu fikra za kijinga za mwenyekiti
 
#ccm imeufanya uchumi wetu uanzie saa 2 asubuhi mpaka saa 10jioni.masaa 16 ni kula bata tuu
 
Nchi ikiwa na raia kama huyu mleta mada, basi sharti wanyongwe kwanza ndio nchi ipate maendeleo, ni bora kufuga mapaka kuliko kuwa na Binadamu boya kama hili.
 
Baba kuhudumia familia ni fadhila au wajibu!?
Nyinyi ndo wale mbunge wenu akipigania maji yakaletwa jimboni kwenu basi mnaona anawapenda sana, wakati ndo kazi mlizomchagua Akazifanye.

Saa zingine hua najiuliza why Mungu anamchukua mtu kama Sharo Millionea anaewapa watu burudani na kuwaacha watu kama wewe unaerudisha nyuma maendeleo!!
 
... nimepata mke kupitia kampeni za chama.... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
mimi yote walionifanyia walinipa kupitia mkono wa kulia wakaninyanganya kupitia mkono wa kushoto bhaaasi.
 
Kila mmoja JF naomba afumbe macho dakika kumi baada ya kusoma topic hii halafu eleza jinsi CCM ilichomfanyia yeye au ndugu yake au mzazi wake. Mimi naanza.

1.Primary School education - buuureee
2. Secondary School form 1 to 6-ada nafuu ya 3000 hadi 60,000 nilipomaliza-1998
Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
3. Masters - sponsorship buuureeeee UDSM
4. Ajira

5, Ndugu zangu wamesoma na kupata mikopo buuuureee nao wanajitegema sasa

Kila mmoja aseme jamani, mnyonge mnyongeni.....................:evil::bange: teh msifiche

Mkuu ulichokisema ni kweli kabisa hata wengi wetu tume pitia njia hiyo hiyo.
Sawa mnyonge mnyongeni ila haki yake tumpe, to mee over madead body, kwanini nasema hivyo chunguza sana wale wote walio someshwa ndio wengi wao wako madarakani na ndio viongozi wa juuu sasa kati ya hao ni wangapi ni wazalendo wa kwelii??? katika zama hizi sindio wamekabidhiwa nnjiiii hiiii? nani ni mzalendo wa kwelii

Hali ya uchumi wa tanzani ni ikoje sasa? hawakusoma na kujua ni nini cha kufanya na vizazi vijavyo wale mkate mzuri zaidi ya wao walio pewa enzi hizooooo kwani this juncture mwawatesa kizazi hikiiiii???
Mfano mzuri tu ni Ndugu Irene Isiaaka mkurugenzi wa SSRA ni msomi lakini katika sakata la Mifuko ja kijamiii yeye na wenzake wakakubali kupitisha hicho kipengele cha kupokea mafao at the age of 55yr huyo ni kijana mwenzetu alishindwa nini kupinga hiyo hoja.???? tuna viongozi wengi sana vijana ila uongozi wao ni wa ajabu sana na si wakizalendo kabisa..

CCM ilisha poteza vija wazalendo kabisa ni inavijana wanao sema sawa mzee au ndio mzeee na kufuata mfano Lowassa ana utajiri wa watu % ni vijana hivi mpka lini tutakuwa watumwa sisi vijana kwani isifike mahali basi inatoshaaaa.

Chuo Kikuu UDMS- Mkopo sasa ivi nakatwa 16,000 tu kwa mwezi nahisi ntastaafu kazi kabla sijamaliza na wenzangu wengine hata hawalipi
Umekula dili na bodi ya Mikopo ya CCM?
Mi nakatwa 149,000/= monthly, almost 30% ya income kwa mwezi!
Nothing at all sjaona walichofanya CCM cha kupongeza.
 
Ccm ilimfilisi baba yangu eti kwa kudai ni mhujumu uchumi! Sina chochote cha kujivunia bse ya uwepo wa hawa beasts. Hata kama wasingekuwepo ccm bado maisha yangu yangekua alright!
 
Back
Top Bottom