Wakuu
Hawa jamaa anzia sijui mameneja, waigizaji, wanamuziki kiukweli kazi wanayofanya hailipi na wanaishi kwenye umaskini wa kutupwa na ndio maana kila msanii japo sio wengi utaona hali halisi ya maisha wamepigika kweli kweli wanaishia kuishi kwa kujipendekeza kwa wanasiasa na kutafutia mademu watu wenye fedha.
Na hawa watu hawatakiwi kuendekezwa maana hawana mchango wowote kwenye ujenzi wa taifa hili maana wengi wao japo sio wote hata shule hawana ni tia maji tia maji.
NB:
Mtu kama Mwana FA aungwe mkono maana hata shule ipo lakini wasanii wengine kwakweli ambao elimu ni zero hawatakiwi kabisa kuingia kua watunga sera maana hata kutunga sera za maisha yao ni kazi sera za nchi wataweza wapi.?