Kila mbuyu na shetani wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mbuyu na shetani wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babylon, Jul 27, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi mzee yusufu Makaba bado yupo nasi? alituhaidi atamjibu mamaAnne Kilango kutokana na ile kauli yake aliyosema kuwa kuna mafisadi miongoni mwao,lakini kwa bahati mbaya miezi imepita bila ya majibu,au tayari amesha towa majibu na kama ameshatowa majibu kuna mtu yeyote anaweza kutubandikia hapa tukayaona ?na kama hakuna majibu basi inadhihirisha kuwa huyu mama sio wakuchezewa na makamba,pia ni aibu kwa huyu mzee kwani vijana na watu wengine ndani ya jamii watamuona kuwa si msemaji ukweli na hana ukweli .
   
  Last edited: Jul 27, 2009
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kiala Shetani na Mbuyu wake!

  Haya tuendelee na mjadala.
   
 3. Mnyisunura

  Mnyisunura Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hivi Makamba ni nani jamani?
   
Loading...