Kila Majina ya wapinzani hawa yatajwapo marais utetemeka

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
1. Malema SA
2. Ndlozi. SA
3. Shivambu SA
4.Kyagulanyi Uganda
5. ------------ Tanzania

Hapa kwenye video kuna scenario moja ya dakika 5,

Mbunge Ndlozi anaambiwa atoke nje ya bunge kwa kukataa kufuta kauli, lakin anamwambia spika kwamba stoki labda nije nikushike mkono tutoke wote nje, ndo utakuwa umelitendea haki bunge



Je ujasiri huu utaijenga afrika au unaibomoa??

Britannica
 
Again mkuu unatoa mada nzuri ila bila kuifanyia utafiti,hao wote kuanzia number 1 to 3 (ambao ni viongozi wa EFF hapo SA)wanafanya siasa zao kwenye mazingira tofauti kabisa na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu,moja ya legancy aliyoiacha President Madiba ni freedom of speech na JUDICIARY AMBAYO NI HURU,sasa wanasiasa hao wana uhuru wa kuongea hivyo wakiamini kuwa taasisi imara zipo ambazo kama kuna atakaye ona ameathirika na matamshi yake wapo huru kwenda mahakamani,tofauti na kwetu hapa na elewa toka uchaguzi mkuu wa kwanza ambao EFF WALISHIRIKI KUNA CHAGUZI NYINGI NDOGO NDOGO zimefanyika na wao wameshinda kata moja tu,chama kikuu cha upinzani hapo SA NI DA(ambacho rais wake ni mr.M.Maimane)na ndicho kinachotawala jimbo la magharibi,pamoja na metro za Cape Town,JHB,PTA,metro ya Nelson Mandela ina mgogoro ambao upo mbele ya mahakama kuu,kwa hiyo hao wapinzani uliowapa chart kubwa hawasitahili na huu umeongea uongo,chama chama EFF kinaongezeka kwa less than 1%,pls mkuu soma elewa humu kuna watu unapotoa mada wanaisoma na kuelewa upande wake wa pili na always ukweli utawale.
 
Ni kweli SA kuna taasisi imara zinazosimamia demokrasia na kulinda haki za binadamu.

Sasa hapa demokrasia tu hakuna na haki za binadamu haziheshimiwi, unaweza ukatekwa na kutoweshwa usionekane na maisha yakaendelea kama kawaida.

Angalia Mandela walimfunga miaka 27 lkn bado alitoka jela akiwa na akili timamu hata akawa rais, imagine kama angekuwa amefungwa miaka yote hiyo Segerea, kama kweli angerudi uraiani akiwa hai labda angerudi mdomo umepinda.

Nchi zetu hizi sio za kulinganisha na nchi kama Afrika Kusini ambao wana moja ya katiba bora zaidi duniani na taasisi imara zinazosimamia demokrasia na haki.
 
1. Malema SA
2. Ndlozi. SA
3. Shivambu SA
4.Kyagulanyi Uganda
5. ------------ Tanzania

Hapa kwenye video kuna scenario moja ya dakika 5,

Mbunge Ndlozi anaambiwa atoke nje ya bunge kwa kukataa kufuta kauli, lakin anamwambia spika kwamba stoki labda nije nikushike mkono tutoke wote nje, ndo utakuwa umelitendea haki bunge



Je ujasiri huu utaijenga afrika au unaibomoa??

Britannica

tundu lissu
 
Back
Top Bottom