Kila Linapozuka jambo na DOWANS na RICHMÖND huibuka mambo ya Kuyapooza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila Linapozuka jambo na DOWANS na RICHMÖND huibuka mambo ya Kuyapooza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MNAMBOWA, Oct 29, 2011.

 1. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  nimefatilia matukio mengi kuhusu sakata la DOWANS NA RICHMOND, nimegundua kila linapotaka kushika kasi mambo mengi huibuka kunyamazisha kama vile wakati, wa KIKOMBE CHA BABU, tuliweka pembeni masuala ya Dowans,, Likaja janga la Meli kuzama, likaja Suala na Rostam kujiuzuru na Uchaguzi wa Igunga, na wakati huu juu ya Wanasiasa wetu kuugua maladhi na Kupelekwa India najiuliza kuna ki2 gani juu ya haya Masuala ya Richmond na Kuambatana na matukio kama haya? Wana Jf naomba tutafakari na hili ...
   
 2. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mm naona haya yazungumzwe na yatatuliwe na vyombo vilivyowekwa , yakirudirudi sana masikioni mwa wananchi yatatuletea majanga mengine na hasara ktk taifa letu, wanasiasa lazima mushtuke...vyombo vya sheria navyo vifanye kazi yake..
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,608
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi limekuja la al shabaab!!!kila kitu kitasitishwa kisa al shaabab!!basi wasilipwe hadi hao waishe huko somalia
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wenye pesa zao walishaapa halipotezi mtu hata senti moja na upande wa pili nao ulishaapa haulipi mtu hata senti moja! Sisi wengine ni washereheshaji tu ila mvutano uko kwa wenyewe.
  Kama mnakumbuka Karamagi alimwambia JK amlipe hela yake ya kampeni 2005, JK naye akawa anazungusha zungusha mara mzee akaruka na makaratasi ya Buzwagi hadi UK, ndo siri zilipoanzia kuvujishwa. Kwa hiyo hapo kama ni kuzama bora wazame wote walioshiriki kwenye hili saga!!
   
 5. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  pia nafikiri huu ni mtego mkubwa sana kwa taifa letu, maana kuna upande unasema Walipwe upande mwingine wanasema Wasilipwe na matokeo yake mpaka Sasa deni linaongezeka,, Kwanza kulipa ni lazima hata iwevp lakini haya malumbano yangeisha,, zifuatwe taratibu za malipo na waliohusika tutabananao cc hata kwa sheria za kimira ili mradi wamewajibika, vingevyo tutajaza mifuko ya watu na Kuishia kupoteza ndg zetu na Viongozi wetu wa Kisiasa...
   
Loading...