Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,970
- 45,848
Mimi huwa wakati mwingine siwaelewi kabisa hawa wakosoaji na wapingaji sugu.
Likifanyika jambo ambalo lina manufaa kwa umma, ili kuliondolea maana lazima waje na defense kua mtendaji anatafuta kick!
Hata kama lipo ndani ya wajibu wa mhusika aliyelitenda lazima waje kusema tu! Anatafuta kick!
Baadae sana unaweza kuja gundua kuwa wana interest katika hayo wanayoyasema kua wenzao wanatafuta kick!