Kila la kheri kwa wanaofanya mtihani wa taifa wa diploma ya ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila la kheri kwa wanaofanya mtihani wa taifa wa diploma ya ualimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ticha, May 7, 2010.

 1. Ticha

  Ticha Senior Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanachuo wote wa Diploma ya Ualimu wanatarajia kuanza mitihani yao ya mwisho jumatatu hii.Tunawatakia kila la kheri wote waweze kufauru vizuri ili waweze kuajiriwa. Tukumbuke wanachuo hawa wote wamesoma mwaka mmoja chuoni na mwaka wa pili wamefanya mafunzo hayo ya kufundisha kwa miezi sita, kwa hiyo mwaka mmoja chuoni na mwaka wa pili kazini.Baada ya hapo wamerudi chuoni kufanya mtihani wao wa mwisho na atakayefeli hatapata ajira ya serikali. Lakini ikumbukwe wamekaa nje ya chuo mwaka mzima ndipo wanakuja kufanya mtihani huo,sijui kama walikuwa wanasoma huko majumbani na pia wafundishe. Lakini mfumo huo umefutwa baada ya kuona haureti mafanikio kabisa,inaonekani Wizara ilirudisha mtindo wake maarufu kama VODA FASTER. Kwa hiyo mwaka huu wanasoma miaka miwili yote darasani.
   
Loading...