kila la kheri FORM FOUR

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Natakia mafanikio katika mitihani yenu mnyoanza hapo kesho mungu awasaidie mweze kukumbuka yale yote mliyosoma na mweze kuyajibia mitihani yenu.
 
kilala kheri fm4 kwa kesho dont panic believe dat ulichosoma ndo chatoka tofauti ni misamiati2 waitumiayo.note epukaneni na matango pori.amen
 
Nawatakia mtihani mwema 4rm 4 wote..(akiwemo dada yangu..) Mungu abariki kazi zao.
 
hebu malizen tuongezeke kitaa tukabane mana kila kituko kipo mtaan hebu malizen tuje tuendelee kucheza kamali za pool table ninawatakia mitihan mema all the best
 
Back
Top Bottom