Kila kunapopambazuka huashiria kuanza kwa siku nyingine

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
9,369
2,000
Kila kunapopambazuka huashiria kuwanza Kwa siku nyengine...!!!Kila MTU HUWAZAA NA KUWAZUA Ni njia gani ya kutumia ili kupata KIPATO Cha kukidhi mahitaji kwenye MAISHA YAKE...!!! Japokuwa kwenye kutafuta KIPATO Hicho zipo njia za HALALI Na zisizo za HALALI...!!!Kila mtu huwamini kuwa atapata KIPATO Hicho Yeye Mwanzo Kuliko Mwinziwe...!!!lakini mimi nadhani kuwamka mwanzo si UJINGA,lakini pia kuchelewa kuwamka pia si UZEMBE Kwani hujui RIDHIKI Ni Mda gani ambao ITAKUJIA.
Tumshukuru M.Mungu Kwa kila jambo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom