KILA KITU. TUME..TUMEE....TUMEE....TUME kukwepa responsibility huu ni uzembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KILA KITU. TUME..TUMEE....TUMEE....TUME kukwepa responsibility huu ni uzembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wameiba Kura, Jan 15, 2011.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila kukicha, na hata vitu vidogo ambavyo kiongozi mkuu wa kitaifa anaweza kutatua
  kwa haraka, na matatizo yapo wazi, wala hayahitaji kuwa Genius kutatua, mengine
  kauli tu ya Rais inatosha, ila due to lack of commitments, wasting of time, kuwa
  irresponsible kwa wananchi, na usanii kibao haya ndio maneno ya kiongozi

  1. Nitaunda TUME, TUME, what..!!!? hata mapendekezo ya tume basi hafuati, hata
  suala la UDOM unaundia tume, just kuzuga na kupoteza time, aaaaarrrrggggggg
  2. HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI...what the hell is this...!!!!?? you as a leader
  then unaongea to public unasema personal opinion, peleka hizo personal opinion
  kwa mkeo na vimada wenu, huu ni kukosa uwajibikaji na kugeuza ulichosema,
  meaning unasema kitu halafu unageuka kama kinyonga
  3. Taarifa hiyo SIKUPATA OFFICIALLY, huu ni upuuzi mwingine, unakuta kuna
  jambo tena linaumiza wananchi kiongozi anasema hajapata taarifa RASMI, tena
  tena tatizo limedumu for almost a week, yy anangojea taarifa mezani, yaani
   
 2. B

  Baba Tina Senior Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Issue ya udom iko wazi wale viongozi wameiba pesa za wahadhiri wanatakiwa kufutwa kazi na kufikishwa mahakamani maana vielelezo vyote viko wazi kuunda tume tatu ni matumiza mabaya ya pesa walau hizo pesa zingetumika kupunguza madai ya wahadhiri.
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  u r right, ila Hoja ya Wameiba kura hapa si UDOM pekee, ni kweli hata even jambo linalomalizika haraka, Rais anasema anaunda tume, tena maoni ya tume hafuati na yanabaki siri, utasikia tutatekeleza
  huu ni upotoshaji na uzembe, meanwhile viongozi eg AG anasema maoni aliyotoa kuhusu Dowans ni yake Binafsi, huu ni kusosa
  uwajibikaji na kuzuga wananchi, ni kutuhadaa tu sisi, hamna lolote, no leaders i have seen wababaishaji kama hawa ndio maana migomo,
  haishi, maana wananyamazia matatizo na wanayajua yote, hawajali wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nchi hii kila mwenye nafasi amegeuka mwizi, hii lifestyle tulioinzisha inahitaji umma uchukuwe hatua. Wasiwasi wangu ni kuwa hao hao wezi ndo umma wenyewe sasa sijui tufanyeje. Angalia karibu mawaziri wote ukiwauliza kuhusu ufisadi na wizi wa mali ya umma watajiuma uma tu kwa sababu wao nao ni wezi!
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Weakness on both sides is, as we know, the motto of all quarrels.
   
 6. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. halafu neno jingine viongozi wanatumia vibaya utasiakia KWA MASLAHI YA TAIFA, what is definition ya maslahi ya kitaifa, tena fisadi
  ndiye anatamka, gademu
  2. Neno jingine TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA, mmmhhh......!!!!!!:frusty::frusty::frusty::frusty: body-builder-0.jpg lazima wananchi wabane muscles
  kujikomboa
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,678
  Likes Received: 82,531
  Trophy Points: 280
  3 teams tackle UDOM crisis
  By The guardian reporter  15th January 2011  [​IMG]
  President Jakaya Kikwete  President Jakaya Kikwete has directed Chief Secretary Philemon Luhanjo to form three commissions to work on the University of Dodoma lecturers' claims.
  President Kikwete's move, announced yesterday, comes a few days after UDOM lecturers asserted that they will not resume teaching until they meet president Kikwete to brief him about their problems.
  The lecturers who are on a go-slow are claiming among other things to be paid new salaries which were approved in November last year.
  The University of Dodoma Academic Staff Association chairman Paul Loisulie and the Vice chancellor of UDOM, Prof Idris Kikula said, they were aware of the president's move.
  The first commission involving the office of the Controller and Auditor General is tasked with auditing salaries of the lecturers.
  The commission was expected to start its work immediately at the Treasury, auditing ‘Pay roll' of UDOM staff.
  The second commission to include permanent secretaries will probe various problems facing the university to establish the source.
  The third commission will involve Tanzania Commission of Universities which will look into various academic problems facing UDOM.
  The three commissions according to the UDOMASA chairperson are supposed to work on the President's directives immediately for a speedy end to the problems still persisting at the university.
  In another development Prime Minister, Mizengo Pinda is expected to meet with UDOM students today and have talks to UDOM lecturers.
  The UDOMASA chairman, Loisulie said Pinda was heading to Dodoma to work on the problems affecting the university.
  Loisulie said staff were still on a go-slow attending an endless meeting including planning to file a case in court against UDOM leadership.
  On Tuesday this week UDOMASA vowed to maintain their go-slow until they receive satisfactory response from the Treasury or from President Jakaya Kikwete.
  The lecturers have been in a continuous meeting since Sunday to press the university authority to pay them new salary rates approved in November last year.
  The academicians have vowed not to resume teaching until they meet with president Kikwete to air their grievances.
  The UDOMASA chairperson, Paul Loisulie was quoted by this paper saying that they have heard that the university management has spoken to the Treasury for clarification on the new salaries.
  UDOM Vice Chancellor Prof Kikula said the problem originated from one staff that went to the Treasury to show his/her salary slip being paid more than what the UDOM lecturers are getting.

  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  na safari hii inavyoelekea ataziunda nyingi sana. manake udom peke yake tatu, kama ataunda na arusha ya nne, mbeya ya tano, katiba mpya ya sita, na huo ni mwezi mmoja tu wa januari! nafikiri hadi anamaliza miaka mitano ikulu utahitaji kujua hesabu za calculus kujua jumla ya tume zitakazokuwa zimeundwa hadi kufikia wakati huo!
   
 9. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili Likwere Ni Lise*****nge
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280

  Infinity pia!
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Na Mibongo tunakazania kuwashangilia tu!
   
 12. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ikitokea issue to jamaa anasema anaunda tume na ukisikia hivyo tu basi ndio imetoka hiyo NO FEEDBACK NO FC ALL!, is his way of deceiving people. Genius!!!
   
 13. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Kila nikisikia kiongozi anasema ataunda tume najua most of the time 90% inakula kwetu
   
 14. MAHENDEKA

  MAHENDEKA JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Zimeshaundwa tume nyingi sana, baadae tutaanza kusikia tume zimeundwa tena ili kuchunguza tume..hili suala lipo uchi kabisa,ushahidi wa kimazingira unatosha kabisa kwa walio juu yake kumchukulia hatua kali, prof shaaban mlacha udom hafai na kumfumbia macho ni sawa sawa na kulea janga,huyu bwana mfupi mumsikie tu,ni mchafu sana wa kauli na majigambo na dharau kwa watu walio chini yake achilia mbali UFISADI wake unawakera wengi
   
 15. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah Miss Judi, imagine, even tatizo la Wanafunzi UDOM 3 tume imeundwa, he has be in power even two moths not yet, jambo dogo TUME
  usanii mbaya sana huu, mbona nchi za wenzetu zenye maendeleo husiki Ma TUME haya? huu ni USANII mbaya zaidi ushauri wa TUME nyingi
  unafichwa makabatini wala haufuatwi.
   
 16. I

  Ilonza Senior Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli noma make tarifa jana inasema,kuanzia novemba2010 wadhili wote walikuwa hawalipwi 51%ya mshaara wao, pia walikuwa hawapewi salary slip zao kutoka hazina.jambo lakusikitisha zaidi ya waadhiri 206 walikuwa hawajaingizwa kwenye payroll.imelipotiwa jana kuwa baadhi ya waadhiri hawana ofisi na vitendea kazi.also hamna mhadhiri ata 1 ambaye ameishalipwa pesa ya kujikimu.ndg zangu iletarifa iliorodhesha matatizo mengi, niliisoma cafteria mpya college of education.kweli inatia uluma.udecta ata kwa wasomi mh haoni haya.
   
 17. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Huku tunakoelekea ni kutafutiana ulaji wakati wa matatizo ya wengine. Hizi tume zimezidi nazo, badala ya fedha za tume zitumike kutatua tatizo ndio kwanza wanaanza kulipana posho kubwa na baadae hamna kitu kitakachofanyika na maoni ya tume huishia kuwa tamthiliya.

  sasa mh. Raisi swala la Udom tume ya nini wakati chanzo cha tatizo kinajulikana ni ndg yako Prof. mlacha? Si umondoe kwa order na kuwalipa stahili zao wahadhiri wa Udom, tume ya nini sasa hapo?

  au ndio mbinu ya kuwapumbaza wahadhiri wasiendelee na mgomo na kumuacha Mlacha aendelee kufaidi vitu vya Udom? Kwa ahadi kwamba "matatizo yenu yanashughulikiwa na tume" huu usanii sasa umeshitukiwa kinachotakiwa ni kutimiza madai na kutatua matatizo na sio LONGO LONGO ZA TUME
   
 18. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Mkuu Wameiba kura, tunakoelekea sasa hata tume nazo zitaundiwa tume kwa kushindwa kutimiza malengo.

  ninahakika watu wakilalamika kidgo kuhusu tume fulani, ujue nayo tume itaundiwa tume, na hiyo tume nayo itaundiwa tume, mwisho inakuwa TUME KWA TUME KWA TUME, ILI TUZIDI KUWANYONYA.

  Hakuna lolote, hizi tume ni kutafutiana ulaji tu. Mbona ,mara nyingi huwa hatuoni effect zake? Acheni usanii tatueni matatizo ya wananchi.
   
 19. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Kama wanaunda tume kwa kila tatizo nchini, mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wapo kwaajili ya kazi gani?

  tuache usanii, huku ni kutafutiana ulaji na vitume vyenu kwa kila tatizo ndani ya nchi, mawaziri wanakazi gani? Makatibu na wakurugenzi je? Sielewi hii nchi inaendeshwaje? Hata Udom Tume?
   
 20. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thats is the political Game.....Kila tatizo its an opportunity ya kupiga ela.......Hizo tume sio kwamba zinafanya Kazi BURE....BIG No....Zina fungu ambalo litakufanya uishi maisha ya UKWASI kwa kipindi kirefu tu.....Sasa kama Ufisadi tunaupigia KELELE then wameshaona sisi matatizo ni Mengi ambayo inturn wao ndiyo waliyotusababishia......so then wanapiga ela mara mbili......
   
Loading...