Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,247
Umenena mkuuata awe baunsa vp mashine itaingia tuu
Hahaha utakuwa mgomo jotohuo ni mgomo wa kuolewa ama sifa tu..?!
Ukimzingua anakupiga ngumi mbili za mbavu unakaa sawa.ukimuopoa demu kama huyo akifika maskani anaanza kuviulizia vyuma kama vipo.
kwasbabu yeye akili yake yote ipo kwenye vyuma.
Sio jambo la kucheka lakini jamaniNimecheka sanaaaaaaaa aiseeeeee!!!
Umenena vema mkuuWale wanaotaka wake zao peke yao bila kushare fursa ndo hyo, msijesema hatukuwaambia
Mashine itakua blocked,ukiforce unavunjika.ha ha haata awe baunsa vp mashine itaingia tuu