Kila kitu kibaya ni cha uswahili lakini kitu kizuri ni cha kizungu

undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
439
1,000
1.Paka akiwa mnene na manyoya mengi ni paka wa kizungu lakini paka aliyekondeana mchafu ni paka wa kiswahili.

2.kuku anayewekwa mahali safi ,analindwa ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda majalalani ni wa kienyeji/wakiswahili.

3.Mtu akiwa anajali muda,msafi ana pesa utasikia watu wakimsifia yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa.

4.lakini mtu muongo ,hajali muda ni mswahili,ah yule jamaa mswahili sana ,maneno mengi ,tapeli nk.

5.kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu sinaga uswahili uswahili (tapeli,tapeli ,muongo muongo ,hajali muda ) kama wewe.

6.sehemu patulivu ,kuna majumba mazuri panaitwa uzunguni na sehemu kwenye nyumba za hali ya kawaida panaitwa uswahilini mfano mbeya sokomatola panaitwa uswahilini na kuna sehemu panaitwa uzunguni huko kuna ofisi za mkuu wa mkoa ,majumba mazuri nk

**Yule kubenea ana uswahili uswahili sana .

Nakumbuka kuna dada mmoja alitoka kufanya mtihani sasa wakati wa kuhadithiana maswali na majibu akasema moja ya swali waliloulizwa ni mswahili ni nani sasa kujibu kwake akasema mswahili ni mtu mbeya dah nilicheka na kusikitika .

Tusiwalaumu wazungu wakitubagua na kutushusha sisi wenyewe tunajidharau na kujishusha.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
SIKU ZOTE WAAFRIKA HUWA TUNAJIBAGUA WENYEWE KWANZA.KAMA TUTASHINDWA KUHESHIMU VYA KWETU,TUNAJIBAGUA WENYEWE
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,370
2,000
1.Paka akiwa mnene na manyoya mengi ni paka wa kizungu lakini paka aliyekondeana mchafu ni paka wa kiswahili.

2.kuku anayewekwa mahali safi ,analindwa ni kuku wa kizungu ila wale wanaorandaranda majalalani ni wa kienyeji/wakiswahili.

3.Mtu akiwa anajali muda,msafi ana pesa utasikia watu wakimsifia yule jamaa mzungu sana hana longolongo kabisa hanaga uswahili kabisa.

4.lakini mtu muongo ,hajali muda ni mswahili,ah yule jamaa mswahili sana ,maneno mengi ,tapeli nk.

5.kwenye mabishano au mtu akisifiwa utasikia mimi sini mzungu sinaga uswahili uswahili (tapeli,tapeli ,muongo muongo ,hajali muda ) kama wewe.

6.sehemu patulivu ,kuna majumba mazuri panaitwa uzunguni na sehemu kwenye nyumba za hali ya kawaida panaitwa uswahilini mfano mbeya sokomatola panaitwa uswahilini na kuna sehemu panaitwa uzunguni huko kuna ofisi za mkuu wa mkoa ,majumba mazuri nk

**Yule kubenea ana uswahili uswahili sana .

Nakumbuka kuna dada mmoja alitoka kufanya mtihani sasa wakati wa kuhadithiana maswali na majibu akasema moja ya swali waliloulizwa ni mswahili ni nani sasa kujibu kwake akasema mswahili ni mtu mbeya dah nilicheka na kusikitika .

Tusiwalaumu wazungu wakitubagua na kutushusha sisi wenyewe tunajidharau na kujishusha.
Sio kila kitu bana, mbona yale mainzi makubwa ya kijani ni ya kizungu!!
 
edwin george

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
1,221

Watu huwa wako sahihi sana na hichi ulichokisema hapa ni sawa kabisa hebu angalia bandiko lako vizuri na utasmini.utagundua hivyo ndivyo waswahili walivyo lakini chakushangaza ni kwamba unakuta mtu anamwita mwenzake mswhili yani yeye anajitoa kwenye kundi la uswahili anajitia uzungu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom