Kila jobless ana ndoto za kuwa Movie Superstar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila jobless ana ndoto za kuwa Movie Superstar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, May 28, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jamani hapa mtaani kwetu kila jobless anataka acheze sinema ili aweze kutoka.
  Amazing, hivi kweli mtaji huu tutapata sinema bora?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Aibu.
  Yaani ni balaa, hata wababu wanataka waingie huko.
   
 3. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  ili mradi mkono uende kinywani kwa kilicho halali.....big up to themselves!
   
 4. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  naona wanatamani kukaa uchi!!
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Mambo ma4 yatawakwamisha,ULEVI,UMALAYA,SIFA, na UPEO MDOGO...wanaandamwa na moja ya haya mambo!
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Just say 'movie star', 'movie superstar' ni kufujia maneno
   
 7. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Na bado, akienda kuigiza anakunja sura sauti juu kana kwamba wanadamu wooote katika kuongea tunaongea kwa sauti juu, wacha watu waigize!
   
 8. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,055
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  Huku nikutuongezea wakaa uchi,malaya na wauza sura kwenye magazeti pendwa.waache future za kijinga.
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hata "The great (Kanumba)" alianza hivyo hivyo kupitia kaole,
  Leo hii ukijaribu kuhoji uwezo wa kipaji cha Kanumba na kazi zake unaambiwa unawivu mara wabongo hatujikubali.
  Bado tunaulimbukeni mwingi sana wabongo linapokuja suala la sanaa kwanzia Music, Movie, Sanaa za majukwaani... labda big up kwa wachongaji na wahunzi.
   
 10. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 530
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Nilikua naangalia list ya muvi staz wa Nigeria wengi ni wahitimu wa vyuo vikuu sijui kwa bongo hata wa5 kama wanafika..upeo ni muhimu sana hasa unapochukulia ile kama ajira.
   
Loading...