Kila Jimbo la "Muunga mkono juhudi" limebana. Asanteni sana magwiji wa CCM mlioamua kurudi

Bora yangejipendekeza hivi wateule wanapoenda majimboni wao wapate kuteuliwa tatizo yanaakili fupi labda yasubiri tumbua tumbua huko majimboni yatachinjiliwa mbali yaani asipitishwe MTU aliyejenga chama toka chipukizi aje kupewa nafasi mhamiaji haramu!
Umewapiga watu mawe nyumba yao yavioo Leo wamejenga nyumba ya mawe (uliyowatupia) eti unaomba hifadhi humo na tena unataka uongozi humohumo!! Pumbwafu...
 
Mechi bado, wachezaji wanafanya kuomba nafasi za awali hata wachezaji kamili hawajajulikana, yaani shortlist bado kabisaa, unaanza kushangilia umeshinda mechi, K-Vant itakuwa inahusika hapa
 
Kawavuta wapinzani waliohamia CCM kawapa nafasi za kugombea kwenye majimbo waliyokuwa wanayaongoza wakiwa Upinzani. Wakabweteka na wengi wakahama na kupewa maisha na mkuu.

Mwaka huu akawaahidi bonge la BOKO kwamba waliohamia wapitishwe na wasibughudhiwe na wanaccm.

Akawaonya wateule wake wasigombee ubunge waridhike na nafasi alizowapa.

Wasaliti kama kawaida yao wakashupaza shingo wakaenda woote kugombe wakiwa na fikra kwamba wao ni EXCEPTIONAL yaani wana BOKO lao kibindoni.

Walipojiudhuru nyadhifa zao JPM akaziba mapengo faster.

Huko kwenye vikao vya Chama wajumbe wakawasha moto kwamba hakuna mtu "kubebwa"(BOKO) kila mtu akapambane kivyake. (Kumbuka wameshaachia madaraka?)

Wakazama kwenye majimbo wakaangukia pua wote kasoro wa Sia aliyetofautiana kura moja na A. Mwanri (huyu ataangukia pua huko aendako)

Yaani JPM ameonesha ushujaa wa hali ya juu kwa hawa walafi wa madaraka sasa wavae tu mashati ya kijani bila senti mfukoni.

mliobakia jifunzeni kwa wenzeni.

images.jpg


NB: Wenye kijani halisi ni waliokulia chamani sio wahamiaji
 
Magufuli pia ameagiza wale watumishi wa Umma waliokwenda kuchukua form wasipate salary ya July 2020. Wengine ndio watafukuzwa kabisa. Anawabatiza kwa moto huyu bwana.
 
Nasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwamba

Huo si ndio wendawazimu wenyewe, wenzake wanaacha ukuu wa mkoa na wilaya kwenda kuwa wabunge, yeye anaacha ubunge asubiri kuhongwa ukuu wa wilaya!
 
Nasari asubir ukuu wa wilaya jpm anamkubali sana huyu mwamba
Usimdharirishe Rais, yaani ampe u DC mtu asiye na msimamo, muongo muongo, aisiye mkweli kwa wananchi? Nassari ameharibu feature yake. haaminiki tena! JPM hana cha kupoteza kama wanannchi watamwamini wamrudishe hana sababu ya kuchafuliwa na hawa ng'ombe waliokatwa mkia, atataka amalize salama na wanaCCM kindakindaki wamheshimu akiwa amestaafu!
 
Back
Top Bottom