Kila jambo na mwanzo wake : Je ni nani alikuwa muanzilishi wa "English Grammer"?

Kisai

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
28,074
28,184
Katika kila fani kuna misingi kumi inayo fanya fani fulani iwe fani, katika misingu hiyo leo baangazia juu ya msingi mmoja ambao husomeka hivi "Kumjua yule wa mwanzo katika fani husika"

Kila somo au fani yupo wa mwanzo ambaye alikuwa sababu ya kufanya fani husika ikawepo na kutajika, hili katika ulimwengu wa kielimu na utafiti ni jambo maarufu sana. Leo hii tunawajua wale wa mwanzo katika masuala ya umeme, wa mwanzo mambo ya vinasaba, na mfano wa hayo. Sasa leo naomba kumjua ni nani wa mwanzo katika somo la "ENGLISH GRAMMER" ?

Jurjani (
Zurri)
 
Back
Top Bottom