Kila jambo lina Mwanzo na Mwisho: CUF ilianza sasa inakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila jambo lina Mwanzo na Mwisho: CUF ilianza sasa inakufa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 19, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Chama kiko dhoofu ilhali. Namuona Ismael Jusa yupo Channel Ten. Siku hizi CUF + Channel Ten ni kama Breakfast.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Sasa Hamad Rashid yuko live kwa simu anajibu mapigo. Why is all these shyt? Oh CUF. Am sorry for you CUF.
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  itapendeza walau kwa muhtasari tuambie wanachosema mkuu.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Yanayosemwa ni mengi mno. Ila kwa kusamaraiz naweza kusema HR analaumiwa kwa kufuja pesa.
   
 5. L

  Luiz JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jusa nae atuambie kama kweli anapewa hela na rostam
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ladu anadai HR ameandika kitabu ambacho sehemu ya contents ni Nyaraka za Chama. Kwa kitendo hicho Ladu anadhani HR alikiuka maadili ya chama na uongozi.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa mgogoro wao ni too personal. Ladu anadai aliombwa na HR amkopee Bilioni 1 kwa Rostam kwa kuwa Ladu na Rostam ni mabestee. Akakataa. Sasa hapo ikawa bifu.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ladu anakiri kwa kinywa chake mbele ya dunia kuwa Chadema ni maji marefu.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Tafadhali mnukuu, usitafsiri alichosema!
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ccm ni kama Ariel Sharon
   
Loading...