Kila demu ananiambia ngoja niende uwani kwanza

mkupuo

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,775
1,928
Wakuu naomba mnipe mawazo

Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima.

Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu muondoke yeye anakwambia ngoja aende uwani kwanza. Nauliza: kwanini hivyo na huko uwani wanakwenda kufanya nini?

Mimi nimekutana na hali hii kwa mademu kama 10 hivi. Na kila alieniambia aende uwani kwanza nilimruhusu lakini sikummega. Naomba wakuu mnielewe kuwa mimi siyo kicheche/mchepukaji ila nilikuwa nafanya utafiti tu jamani.
 
mkuu weka vizuri hapo yani hukummega kwakua alikuja na jibu la kukataa!
au walikubali ila unataka tu kujua wanaenda kufanya nn
 
Baada kujua utafanya nini? Kama umfuate ukaone anafanya nini. Au kwani walikuzuia kuwafuata? Na kama kweli ulikuwa unafanya utafiti uliogopa nini kuwauliza wahusika wako.
 
Wakuu naomba mnipe mawazo

Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima.

Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu muondoke yeye anakwambia ngoja aende uwani kwanza. Nauliza: kwanini hivyo na huko uwani wanakwenda kufanya nini?

Mimi nimekutana na hali hii kwa mademu kama 10 hivi. Na kila alieniambia aende uwani kwanza nilimruhusu lakini sikummega. Naomba wakuu mnielewe kuwa mimi siyo kicheche/mchepukaji ila nilikuwa nafanya utafiti tu jamani.
Mkuu siku nyingine mfuatilie kimya kimya. Kwani wewe unahisi huko uani anaenda kufanya nini? Kakamilishe utafiti kwanza. Au uwe unawasilisha hoja ya kummega badala ya kumegana. mia
 
Kumbe......! Sio kicheche/mchepukaji ila ulikuwa unafanya utafiti sawa.!
 
Wakuu naomba mnipe mawazo

Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima.

Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu muondoke yeye anakwambia ngoja aende uwani kwanza. Nauliza: kwanini hivyo na huko uwani wanakwenda kufanya nini?

Mimi nimekutana na hali hii kwa mademu kama 10 hivi. Na kila alieniambia aende uwani kwanza nilimruhusu lakini sikummega. Naomba wakuu mnielewe kuwa mimi siyo kicheche/mchepukaji ila nilikuwa nafanya utafiti tu jamani.
Huwa wanaenda kuliweka limbwata vizuri ili wapate kukuchuna kiulaiiinia
 
hivi wale waliofanya mitihani ya fomu sixi bado majibu yao
na wanaoenda fomu five nao je? maana naona tumeingiliwa hapa
 
Wakuu naomba mnipe mawazo

Ni hivi, mimi nilikuwa nafanya utafiti kujua ni kitu gani hasa msichana hukifanya muda mfupi kabla ya kumegana? Story yenyewe ni hivi, unamuita msichana kunako maeneo ya faragha, mnapiga story wee hata saa nzima.

Sasa ukiwasilisha tu hoja ya kutaka mmegane halafu muondoke yeye anakwambia ngoja aende uwani kwanza. Nauliza: kwanini hivyo na huko uwani wanakwenda kufanya nini?

Mimi nimekutana na hali hii kwa mademu kama 10 hivi. Na kila alieniambia aende uwani kwanza nilimruhusu lakini sikummega. Naomba wakuu mnielewe kuwa mimi siyo kicheche/mchepukaji ila nilikuwa nafanya utafiti tu jamani.

Kwanini usimuulize huyo mwanamke???
 
Wanaenda huko kujiweka sawa. Na si yeye tu, hata wewe unatakiwa kujiswafi. Siku nzima upo kazini, harufu na uchafu unategemea nini..
 
Hivi ulishindwa kuwauliza hao wahusika 10 kujua sababu mana si ndio utafiti wenyewe ???????
 
Back
Top Bottom