Kila chenye mwanzo...

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Waungwana habari zenu...
Nimetokea kuwaza msemo wa KILA CHENYE MWANZO,HAKIKOSI KUWA NA MWISHO WAKE...
Nikajaribu kuufikiria mwisho wa JF na MMU kwa ujumla...
Kwako wewe mwana MMU,umeshaliwaza hili?
Tafakuri njema!
 
mkuu Mwisho wake ni wewe kuaga dunia na kubaki na ID yako tu hapa jamvini!
 
mwisho wake ni wewe kuacha kutumia na sisi tukaendelea na jf yetu ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom